sw_gen_text_reg/11/22.txt

1 line
179 B
Plaintext

\v 22 Wakati Seregu alipokuwa ameishi miaka thelathini, akamzaa Nahori. \v 23 Seregu aliishi miaka mia mbili baada ya kumzaa Nahori. Akawazaa pia wana wengine wa kiume na wa kike.