\v 16 Wakati Eberi alipokuwa ameishi miaka thelathini na minne, akamzaa Pelegi. \v 17 Eberi aliishi miaka 430 baada ya kumzaa Pelegi. Akawazaa pia wana wengine wa kiume na wa kike.