sw_gen_text_reg/11/05.txt

1 line
322 B
Plaintext

\v 5 Kwa hiyo Yahwe akashuka kuona mji na mnara ambao wazao wa Ibrahimu walikuwa wamejenga. \v 6 Yahwe akasema, "Tazama, watu hawa ni taifa moja na lugha moja, na wameanza kufanya hivi! Hivikaribuni halitashindikana jambo watakalo kusudia kulifanya. \v 7 Njoni, tushuke na tuvuruge lugha yao pale, ili kwamba wasielewane."