sw_gen_text_reg/11/03.txt

1 line
310 B
Plaintext

\v 3 Wakasemezana, "Haya njoni, tufanye matofari na tuyachome kikamilifu." Walikuwa na matofari badala ya mawe na lami kama chokaa. \v 4 Wakasema, "njoni, na tujenge mji sisi wenyewe na mnara ambao kilele chake kitafika angani, na tujifanyie jina. Kama hatutafanya, basi tutatawanyika katika uso wa nchi yote."