sw_gen_text_reg/09/01.txt

1 line
313 B
Plaintext

\v 1 Kisha Mungu akambariki Nuhu na wanawe, na kuwaambia, "Zaeni, mkaongezeke, na muijaze nchi. \v 2 Hofu na utisho wenu vitakuwa juu ya kila mnyama aliye hai juu ya nchi, juu ya kila ndege wa angani, juu ya kila kitu kiendacho chini juu ya ardhi, na juu ya samaki wote wa baharini. Vimetolewa katika mikono yenu.