sw_gen_text_reg/08/15.txt

1 line
408 B
Plaintext

\v 15 Mungu akamwambia Nuhu, \v 16 "Toka nje ya safina, wewe, mke wako, wanao wa kiume, na wake wa wanao pamoja nawe. \v 17 Wachukuwe utoke nje pamoja nao kila kiumbe hai chenye mwili ambacho kiko nawe - ndege, wanyama wa kufugwa, na kila kitambaacho ambacho hutambaa juu ya nchi - ili kwamba viweze kukua na kuwa na idadi kubwa zaidi ya viumbe hai katika nchi yote, kwa kuzaliana na kuongezeka juu ya nchi."