sw_gen_text_reg/07/23.txt

1 line
342 B
Plaintext

\v 23 Hivyo kila kilichokuwa hai ambacho kilikuwa juu ya uso wa mchi kilifutwa, kuanzia watu mpaka wanyama wakubwa, mpaka vitambaavyo, na mpaka ndege wa angani. Vyote viliangamizwa kutoka kwenye nchi. Nuhu tu pamoja na wale waliokuwa naye kwenye safina ndio walisalia. \v 24 Maji haya kuzama chini ya nchi kwa muda wa siku miamoja na hamsini.