sw_gen_text_reg/07/11.txt

1 line
303 B
Plaintext

\v 11 Katika mwaka wa mia sita wa maisha yake Nuhu, katika mwezi wa pili, katika siku ya kumi na saba ya mwezi, katika siku iyo hiyo, chemchemi zote za vilindi vikuu zilipasuka na kufunguka, na madirisha ya mbinguni yakafunguka. \v 12 Mvua ikaanza kunyesha juu ya nchi kwa siku arobaini mchana na usiku.