sw_gen_text_reg/05/28.txt

1 line
273 B
Plaintext

\v 28 Wakati Lameki alipokuwa ameishi miaka 182, alimzaa mwana. \v 29 Akamuita jina lake Nuhu, akisema, "Huyu ndiye atatupatia pumziko kutoka katika kazi yetu na kutoka katika kazi ya taabu ya mikono yetu, ambayo lazima tuifanye kwa sababu ya ardhi ambayo Yahwe ameilaani."