sw_gen_text_reg/05/25.txt

1 line
214 B
Plaintext

\v 25 Wakati Methusela alipokuwa ameishi miaka 187, alimzaa Lameki. \v 26 Baada ya kumzaa Lameki, Methusela aliishi miaka 782. Akawazaa wana wengi wa ume na wake. \v 27 Methusela aliishi miaka 969. Kisha akafariki.