sw_gen_text_reg/04/08.txt

1 line
416 B
Plaintext

\v 8 Kaini akamwambia Habili ndugu yake. Hata wakati walipokuwa shambani, Kaini aliinuka dhidi ya Habili ndugu yake na akamuua. (Katika tafsiri za kale zinasema, Kaini alimwambia Habili ndugu yake, " twende mashambani." Na wakati walipokuwa shambani, Kaini alimuinukia Habili ndugu yake na kumuua). \v 9 Kisha Yahwe akamuuliza Kaini, "Ndugu yako Habili yuko wapi?" Akasema, "sijui. Je mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?"