sw_gen_text_reg/04/06.txt

1 line
247 B
Plaintext

\v 6 Yahwe akamwambia Kaini, " kwa nini umekasirika na kwa nini uso wako umekunjamana? \v 7 Kama ukifanya vema, je hutapata kibali? lakini kama hutafanya lilio jema, dhambi iko inakuotea mlangoni na inatamani kukutawala, lakini inakupasa uishinde.