sw_gen_text_reg/02/15.txt

1 line
319 B
Plaintext

\v 15 Yahwe Mungu alimtwaa mtu na kumweka ndani ya bustani ya Edeni kuilima na kuitunza. \v 16 Yahwe Mungu alimuagiza mtu akisema, "kutoka kwenye kila mti bustanini waweza kula kwa uhuru. \v 17 Lakini kutoka kwenye mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa kuwa siku utakayo kula kutoka katika mti huo, utakufa hakika."