sw_gen_text_reg/01/20.txt

1 line
318 B
Plaintext

\v 20 Mungu akasema, "maji yajae idadi kubwa ya viumbe hai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu." \v 21 Mungu akaumba viumbe wakubwa wa baharini, pamoja na kila kiumbe hai cha aina yake, viumbe waendao na wanaojaa kila mahali majini, na kila ndege mwenye mabawa kwa aina yake. Mungu akaona kuwa ni vyema.