sw_gen_text_reg/01/14.txt

1 line
204 B
Plaintext

\v 14 Mungu akasema, "kuwe na mianga katika anga kutenganisha mchana na usiku. Na ziwe kama ishara, kwa majira, kwa siku na miaka. \v 15 Ziwe mianga katika anga ili kutoa mwanga juu ya nchi." Ikawa hivyo.