sw_gen_text_reg/01/06.txt

1 line
265 B
Plaintext

\v 6 Mungu akasema, " na kuwe na anga kati ya maji, na ligawe maji na maji." \v 7 Mungu akafanya anga na kugawanya maji yaliyo kuwa chini ya anga na maji ambayo yalikuwa juu ya anga. Ikawa hivyo. \v 8 Mungu akaita anga "mbingu." Ikawa jioni na asubuhi siku ya pili.