sw_gen_text_reg/01/03.txt

1 line
217 B
Plaintext

\v 3 Mungu akasema, "na kuwe nuru," na kulikuwa na nuru. \v 4 Mungu akaona nuru kuwa ni njema. Akaigawa nuru na giza. \v 5 Mungu akaiita nuru " mchana" na giza akaliita "usiku." Ikawa jioni na asubuhi, siku ya kwanza.