Wed Jun 22 2022 06:41:23 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
Thomasomenta 2022-06-22 06:41:27 +03:00
commit d66fab9518
637 changed files with 703 additions and 0 deletions

1
01/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na nchi. \v 2 Nayo nchi haikuwa na umbo na ilikuwa tupu. Giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji. Roho wa Mungu alikuwa akielea juu ya uso wa maji.

1
01/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Mungu akasema, "na kuwe nuru," na kulikuwa na nuru. \v 4 Mungu akaona nuru kuwa ni njema. Akaigawa nuru na giza. \v 5 Mungu akaiita nuru " mchana" na giza akaliita "usiku." Ikawa jioni na asubuhi, siku ya kwanza.

1
01/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Mungu akasema, " na kuwe na anga kati ya maji, na ligawe maji na maji." \v 7 Mungu akafanya anga na kugawanya maji yaliyo kuwa chini ya anga na maji ambayo yalikuwa juu ya anga. Ikawa hivyo. \v 8 Mungu akaita anga "mbingu." Ikawa jioni na asubuhi siku ya pili.

1
01/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Mungu akasema, "maji yaliyo chini ya mbingu yakusanyike pamoja mahali pamoja, na ardhi kavu ionekane." Ikawa hivyo. \v 10 Mungu aliita ardhi kavu "nchi," na maji yaliyo kusanyika akayaita "bahari." Akaona kuwa ni vyema.

1
01/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Mungu akasema, nchi ichipushe mimea: miche itoayo mbegu na miti ya matunda itoayo matunda ambayo mbegu yake imo ndani ya tunda, kila kitu kwa namna yake." Ikawa hivyo. \v 12 Nchi ikatoa mimea, miche itoayo mbegu ya aina yake, na miti itoayo tunda ambalo mbegu yake imo ndani yake, kwa aina yake. Mungu akaona kuwa ni vyema. \v 13 Ikawa jioni na asubuhi, siku ya tatu.

1
01/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Mungu akasema, "kuwe na mianga katika anga kutenganisha mchana na usiku. Na ziwe kama ishara, kwa majira, kwa siku na miaka. \v 15 Ziwe mianga katika anga ili kutoa mwanga juu ya nchi." Ikawa hivyo.

1
01/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Mungu akafanya mianga mikuu miwili, mwanga mkuu zaidi kutawala mchana, na mwanga mdogo kutawala usiku. Akafanya nyota pia. \v 17 Mungu akazipanga katika anga kutoa mwanga juu nchi, \v 18 kutawala mchana na usiku, na kugawanya mwanga kutoka kwenye giza. Mungu akaona kuwa ni vyema. \v 19 Ikawa jioni na asubuhi, siku ya nne.

1
01/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Mungu akasema, "maji yajae idadi kubwa ya viumbe hai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu." \v 21 Mungu akaumba viumbe wakubwa wa baharini, pamoja na kila kiumbe hai cha aina yake, viumbe waendao na wanaojaa kila mahali majini, na kila ndege mwenye mabawa kwa aina yake. Mungu akaona kuwa ni vyema.

1
01/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Mungu akavibariki, akisema, "zaeni na muongezeke, na mjae majini katika bahari. Ndege waongezeke juu nchi." \v 23 Ikawa jioni na asubuhi, siku ya tano.

1
01/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 Mungu akasema, " nchi na itoe viumbe hai, kila kiumbe kwa aina yake, mnyama wa kufugwa, vitu vitambaavyo, na wanyama wa nchi, kila kitu kwa jinsi yake." Ikawa hivyo. \v 25 Mungu akafanya wanyama wa nchi kwa aina yake, wanyama wa kufugwa kwa aina yake, na kila kitambaaho juu ya ardhi kwa aina yake. Akaona kuwani vyema.

1
01/26.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 26 Mung akasema, "na tumfanye mtu katika mfano wetu, wa kufanana na sisi. Wawe na mamlaka juu ya samaki wa bahari, juu ya ndege wa angani, juu ya wanyama wa kufuga, juu ya nchi yote, na juu ya kila kitu kitambaacho kinacho tambaa juu ya nchi." \v 27 Mungu akamuumba mtu kwa mfano wake. Katika mfano wake alimuumba. Mwanaume na mwanamke aliwaumba.

1
01/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 Mungu akawabariki na akawaambia, "zaeni na kuongezeka. Jazeni nchi, na muitawale. Muwe na mamlaka juu ya samaki wa baharini, juu ya ndege wa angani, na juu ya kila kiumbe hai kiendacho juu ya nchi," \v 29 Mungu akasema, "tazama, nimewapeni kila mmea uzaao mbegu ambao uko juu ya nchi, na kila mti wenye tunda ambalo lina mbegu ndani yake. Vitakuwa ni chakula kwenu.

1
01/30.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 30 Kwa kila mnyama wa nchi, kwa kila ndege wa angani, na kila kitambaacho juu ya nchi, na kila kiumbe ambacho kina pumzi ya uhai ni metoa kila mmea kwa ajili ya chakula." ikawa hivyo. \v 31 Mungu akaona kila kitu alichokiumba. Tazama, kikawa chema sana. Ikawa jioni na asubuhi siku ya sita.

1
02/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Kisha mbingu na nchi zilimalizika, na viumbe hai vyote vilivyo jaza mbingu na nchi. \v 2 Siku ya saba Mungu alifikia mwisho wa kazi yake ambayo aliifanya, na kwa hiyo alipumzika siku ya saba kutoka kwenye kazi yake yote. \v 3 Mungu akaibarikia siku ya saba na akaitakasa, kwa sababu katika siku hiyo alipumzika kutoka kwenye kazi yake yote ambayo aliifanya katika uumbaji.

1
02/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Haya yalikuwa ni matukio yahusuyo mbingu na nchi, wakati vilipoumbwa, katika siku ambayo Yahwe Mungu aliumba nchi na mbingu. \v 5 Hapakuwa na msitu wa shambani uliokuwa katika nchi, na hapakuwa na mmea wa shambani uliokuwa umechipuka, kwa kuwa Yahwe Mungu alikuwa hajasababisha mvua kunyesha juu ya nchi, na hapakuwa na mtu wa kulima ardhi. \v 6 Lakini ukungu uliinuka juu kutoka kwenye nchi na kuutia maji uso wote wa ardhi.

1
02/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Yahwe Mungu aliumba mtu kutoka mavumbi ya ardhi, na akampulizia puani pumzi ya uhai, na mtu akawa kiumbe hai. \v 8 Yahwe Mungu aliotesha bustani upande wa mashariki, katika Edeni, na pale akamuweka mtu ambaye alimuumba.

1
02/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Kutoka ardhini Yahwe Mungu alifanya kila mti uote ambao unapendeza na ni mzuri kwa chakula. Hii ni pamoja na mti wa uzima ambao ulikuwa katikati ya bustani, na mti wa ujuzi wa mema na mabaya. \v 10 Mto ukatoka nje ya Edeni kuitia maji bustani. Na kutoka pale ukagawanyika na kuwa mito minne.

1
02/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Jina la ule wa kwanza ni Pishoni. Huu ni ule ambao unatiririka kupitia nchi yote ya Havila, ambapo kuna dhahabu. \v 12 Dhahabu ya inchi ile ni nzuri. pia kuna bedola na jiwe shohamu.

1
02/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Jina la mto wa pili ni Gihoni. Huu unatiririka kupitia nchi yote ya kushi. \v 14 Jina la mto wa tatu ni Hidekeli, ambao unatiririka mashariki mwa Ashuru. Mto wa nne ni Frati.

1
02/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Yahwe Mungu alimtwaa mtu na kumweka ndani ya bustani ya Edeni kuilima na kuitunza. \v 16 Yahwe Mungu alimuagiza mtu akisema, "kutoka kwenye kila mti bustanini waweza kula kwa uhuru. \v 17 Lakini kutoka kwenye mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa kuwa siku utakayo kula kutoka katika mti huo, utakufa hakika."

1
02/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Kisha Yahwe Mungu akasema, "siyo jambo jema kwamba mtu huyu lazima awe pekeyake. Nitamfanyia msaidizi anaye mfaa." \v 19 Kutoka ardhini Yahwe Mungu akafanya kila mnyama wa kondeni na kila ndege wa angani. Kisha akawaleta kwa mtu huyu aone angewapatia majina gani. Jina ambalo mtu huyu alimwita kila kiumbe hai, hili ndilo lilikuwa jina lake. \v 20 Mtu huyu akawapatia majina wanyama wote, ndege wote wa angani, na kila mnyama wa mwitu. Lakini kwa mtu mwenyewe hapakuwa na msaidizi wa kumfaa yeye.

1
02/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Yahwe Mungu akaleta usingizi mzito kwa mtu huyu, kwa hiyo mtu huyu akalala. Yahwe Mungu akatwaa moja ya mbavu za mtu huyu na akapafunika pale alipo chukua ubavu. \v 22 Kwa ubavu ambao Yahwe Mungu alichukua toka kwa mtu huyu, akafanya mwanamke na akamleta kwa mtu huyu. \v 23 Mwanaume akasema, "kwa sasa, huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu. ataitwa 'mwanamke,' kwa sababu ametwaliwa katika mwanaume.

1
02/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 Kwa hiyo mwanaume atawaacha baba yake na mama yake, ataungamanika na mke wake, na watakuwa mwili mmoja. \v 25 Wote wawili walikuwa uchi, mwanaume na mke wake, lakini hawakuona aibu.

1
03/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Sasa nyoka alikuwa mwerevu kuliko myama mwingine yeyote wa kondeni ambaye Yahwe Mungu alikuwa amemuumba. Akamwambia mwanamke, "Je ni kweli Mungu amesema, 'Msile matunda kutoka kwenye mti wowote bustanini'?" \v 2 Mwanamke akamwambia nyoka, "Twaweza kula tunda kutoka kwenye miti ya bustani, \v 3 lakini kuhusu tunda la mti ambao uko katikati ya bustani, Mungu alisema, 'msile, wala msiuguse, vinginevyo mtakufa.'"

1
03/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Nyoka akamwambia mwanamke, "hakika hamtakufa. \v 5 Kwasababu Mungu anajua kwamba siku mkila macho yenu yatafumbuliwa, na mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya." \v 6 Na mwanamke alipoona kuwa mti ni mzuri kwa chakula, na kuwa unapendeza macho, na kwamba mti ulitamanika kwa kumfanya mtu awe mwerevu, alichukua sehemu ya tunda na akala. Na sehemu yake pia akampatia mumewe aliyekuwa naye, naye akala.

1
03/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Macho ya wote wawili yalifumbuliwa, na wakajua kuwa wako uchi. Wakashona majani ya miti pamoja na wakatengeneza vya kujifunika wao wenyewe. \v 8 Wakasikia sauti ya Yahwe Mungu akitembea bustanini majira ya kupoa kwa jua, kwa hiyo mwanaume na mke wake wakajificha wao wenyewe kwenye miti ya bustani kuepuka uwepo wa Yahwe Mungu.

1
03/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Yahwe Mungu akamuita mwanaume na kumwambia, " uko wapi?" \v 10 Mwanaume akasema, "nilikusikia bustanini, na nkaogopa, kwa sababu nilikuwa uchi. kwa hiyo nikajificha." \v 11 Mungu akasema, "Ni nani alikwambia kuwa ulikuwa uchi? Je umekula kutoka mti ambao nilikuagiza usile matunda yake?"

1
03/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Mwanaume akasema, " Mwanamke uliyenipa kuwa na mimi, alinipatia tunda kutoka kwenye mti, na nikala." \v 13 Yahwe Mungu akamwambia mwanamke, " Nini hiki ulichofanya?" mwanamke akasema, "nyoka alinidanganya, na nikala."

1
03/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Yahwe Mungu akamwambia nyoka, " kwa sababu umefanya jambo hili, umelaaniwa wewe mwenyewe miongoni mwa wanyama wote wa kufugwa na wanyama wote wa mwituni. Itakuwa kwa tumbo lako utakwenda, na mavumbi utakula kwa siku zote za maisha yako. \v 15 Nitaweka uadui kati yako na mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake. Atakujeruhi kichwa chako na utamjeruhi kisigino chake."

1
03/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Kwa mwanamke akasema, nitaongeza uchungu wakati wa kuzaa watoto; itakuwa katika maumivu utazaa watoto. Tamaa yako itakua kwa mume wako, lakini atakutawala."

1
03/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Kwa Adam akasema, "kwa sababu umesikiliza sauti ya mke wako, na umekula kutoka katika mti, ambao nilikuagiza, nikisema, " usile matunda yake', ardhi imelaaniwa kwa sababu yako; kupitia kazi yenye maumivu utakula matunda ya ardhi kwa siku zote za maisha yako. \v 18 Ardhi itazaa miiba na mbigili kwa ajili yako, na utakula mimea ya shambani. \v 19 Kwa jasho la uso wako utakula mkate, mpaka utakapo irudia ardhi, ambayo kwayo ulitwaliwa. kwa kuwa wewe ni mavumbi na kwenye mavumbi utarudi."

1
03/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Mwanaume akaita mke wake jina Hawa kwa sababu alikuwa mama wa wote wenye uhai. \v 21 Yahwe Mungu akatengeneza mavazi ya ngozi kwa ajili ya Adam na mke wake na akawavalisha.

1
03/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Yahwe Mungu akasema, " sasa mtu huyu amekuwa kama mmoja wetu, ajuaye mema na mabaya. Kwa hiyo sasa hataruhusiwa kugusa kwa mkono wake, na kuchukua tunda la mti wa uzima, na kula akaishi tena milele." \v 23 Kwa hiyo Yahwe Mungu akamuondoa kutoka kwenye bustani ya Edeni, kwenda kulima ardhi ambayo kwahiyo alikuwa ametwaliwa. \v 24 Kwa hiyo Mungu akamfukuza mtu huyu nje ya bustani, na akaweka kerubi mashariki mwa bustani ya Edeni, na upanga wa moto ulio geuka geuka kila upande, ili kulinda njia ya kwenda kwenye mti wa uzima.

1
04/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Mwanume akalala na Hawa mke wake. Akabeba mimba na akamzaa Kaini. Akasema, " nimezaa mwanaume kwa msaada wa Yahwe." \v 2 Kisha akazaa ndugu yake Habili. Sasa Habili akawa mchungaji, lakini Kaini alilima udongo.

1
04/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Ikawa kwamba baada ya muda Kaini alileta sehemu ya mazao ya ardhi kama sadaka kwa Yahwe. \v 4 Habili pia, alileta sehemu ya wazao wa kwanza wa wanyama wake na sehemu zilizonona. Yahwe akamkubali Habili pamoja na sadaka yake, \v 5 lakini Kaini pamoja na sadaka yake Mungu hakuikubali. Kwa hiyo Kaini alikasirika sana, na uso wake ukakunjamana.

1
04/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Yahwe akamwambia Kaini, " kwa nini umekasirika na kwa nini uso wako umekunjamana? \v 7 Kama ukifanya vema, je hutapata kibali? lakini kama hutafanya lilio jema, dhambi iko inakuotea mlangoni na inatamani kukutawala, lakini inakupasa uishinde.

1
04/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Kaini akamwambia Habili ndugu yake. Hata wakati walipokuwa shambani, Kaini aliinuka dhidi ya Habili ndugu yake na akamuua. (Katika tafsiri za kale zinasema, Kaini alimwambia Habili ndugu yake, " twende mashambani." Na wakati walipokuwa shambani, Kaini alimuinukia Habili ndugu yake na kumuua). \v 9 Kisha Yahwe akamuuliza Kaini, "Ndugu yako Habili yuko wapi?" Akasema, "sijui. Je mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?"

1
04/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Yahwe akasema, "umefanya nini? damu ya ndugu yako inaniita mimi kutokea ardhini. \v 11 Na sasa umelaaniwa wewe kutoka ardhi ambayo imefungua kinywa chake kupokea damu ya ndugu yako kutoka mikononi mwako. \v 12 Utakapo ilima ardhi, kuanzia sasa na kuendelea haita kuzalia wewe nguvu yake. Utakuwa mkimbizi na mtu asiye na makao duniani."

1
04/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Kaini akamwambia Yahwe, "Adhabu yangu ni kubwa kuliko uwezo wangu wa kustahimili. \v 14 Kwa hakika umenifukuza siku hii ya leo kutoka kwenye ardhi hii, na sitaonekana mbele ya uso wako. Nitakuwa mkimbizi na mtu nisiye na makao katika dunia, na yeyote atakaye niona ataniua." \v 15 Yahwe akamwambia, "ikiwa mtuyeyote atamuua Kaini, kisasi kitakuwa juu yake mara saba." Kisha Yahwe akaweka alama juu ya Kaini, ili kwamba kama mtu awayeyote akimuona, mtu huyo asimshambulie.

1
04/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Kwa hiyo Kaini akatoka mbele ya uwepo wa Yahwe na akaishi katika nchi ya Nodi, mashariki mwa Edeni. \v 17 Kaini akamjua mke wake na akapata mimba. Akamzaa Henoko. Akajenga mji na akauita kwa jina la mwanae Henoko.

1
04/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Kwa Henoko akazaliwa Iradi. Iradi akamzaa Mehuyaeli. Mehuyaeli akamzaa Methushaeli. Methushaeli akamzaa Lameki. \v 19 Lameki akajitwalia wake wawili: jinala mmoja alikuwa Ada, na jina la yule mwingine alikuwa Sila.

1
04/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Ada akamzaa Yabali. Huyu ndiye alikuwa baba yao na wale walioishi hemani ambao wanafuga wanyama. \v 21 Ndugu yake aliitwa Yubali. Huyu alikuwa baba yao na wale wapigao kinubi na filimbi. \v 22 Sila naye akamzaa Tubal Kaini, mfua vyombo vya shaba na chuma. Dada yake na Tubal Kaini alikuwa Naama.

1
04/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Lameki akawaambia wake zake, Ada na Sila, sikieni sauti yangu; ninyi wake wa Lameki, sikilizeni nisemacho. Kwa kuwa nimemuua mtu kwa kunijeruhi, kijana kwa kunichubua. \v 24 Ikiwa Kaini atalipiwa kisasi mara saba, ndipo Lameki atalipiwa kisasi mara sabini na saba."

1
04/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Adam akamjua mke wake tena, na akazaa mtoto mwanaume. Akamuita jina lake Sethi na akasema, " Mungu amenipatia mtoto mwingine wa kiume kwa nafasi ya Habili, kwa kuwa Kaini alimuuwa." \v 26 Mtoto wa kiume alizaliwa kwa Sethi na akamuita jina lake Enoshi. Wakati huo watu walianza kuliitia jina la Yahwe.

1
05/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Hii ni orodha ya vizazi vya Adamu. Katika siku ambayo Mungu alimuumba mtu, aliwaumba katika mfano wake mwenyewe. \v 2 Mwanaume na mwanamke aliwaumba. Akawabariki na akawaita Adam wakati walipoumbwa.

1
05/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Wakati Adamu alipokuwa ameishi miaka 130, akamzaa mwana katika sura yake mwenyewe, kwa mfano wake, na akamuita jina lake Sethi. \v 4 Baada ya Adamu kumzaa Sethi, aliishi miaka mia nane. Akawazaa wana wengi waume na wake. \v 5 Adamu akaishi miaka 930 kisha akafariki.

1
05/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Wakati Sethi alipokuwa ameishi miaka 105, akamzaa Enoshi. \v 7 Baada ya kumzaa Enoshi, akaishi miaka 807 na akawazaa wana wengi waume na wake. \v 8 Sethi akaishi miaka 912 kisha akafariki.

1
05/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Wakati Enoshi alipokuwa ameishi miaka tisini, akamzaa Kenani. \v 10 Baada ya kumzaa Kenani, Enoshi aliishi miaka 815. Akazaa wana wengi wa ume na wake. \v 11 Enoshi aliishi miaka 905 na kisha akafariki.

1
05/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Wakati Kanani alipokuwa ameishi miaka sabini, akamzaa Mahalaleli. \v 13 Baada ya kumzaa Mahalaleli, Kenani aliishi miaka 840. Akawazaa wana wengi wa ume na wake. \v 14 Kenani aliishi miaka 910, na kisha akafariki.

1
05/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Mahalaleli alipokuwa ameishi miaka sitini na tano, alimzaa Yaredi. \v 16 Baada ya kumzaa Yaredi, Mahalaleli aliishi miaka 830. Akazaa wana wengi wa ume na wake. \v 17 Mahalaleli aliishi miaka 895 na kisha akafariki.

1
05/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Yaredi alipokuwa ameishi miaka 162, alimzaa Henoko. \v 19 Baada ya kumzaa Henoko, Yaredi aliishi miaka mianane. Akazaa wana wengi waume na wake. \v 20 Yaredi aliishi miaka 962 na kisha akafariki.

1
05/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Henoko alipokuwa ameishi miaka sitini na tano, akamzaa Methusela. \v 22 Henoko akaenenda na Mungu miaka miatatu baada ya kumzaa Methusela. Aliwazaa wana wengi wa ume na wake. \v 23 Henoko aliishi miaka 365. \v 24 Henoko alienenda na Mungu, na kisha alitoweka, kwa kuwa Mungu alimtwaa.

1
05/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Wakati Methusela alipokuwa ameishi miaka 187, alimzaa Lameki. \v 26 Baada ya kumzaa Lameki, Methusela aliishi miaka 782. Akawazaa wana wengi wa ume na wake. \v 27 Methusela aliishi miaka 969. Kisha akafariki.

1
05/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 Wakati Lameki alipokuwa ameishi miaka 182, alimzaa mwana. \v 29 Akamuita jina lake Nuhu, akisema, "Huyu ndiye atatupatia pumziko kutoka katika kazi yetu na kutoka katika kazi ya taabu ya mikono yetu, ambayo lazima tuifanye kwa sababu ya ardhi ambayo Yahwe ameilaani."

1
05/30.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 30 Lameki aliishi miaka 595 baada ya kumzaa baba wa Nuhu. Akazaa wanawengi wa ume na wake. \v 31 Lameki aliishi miaka 777. Kisha akafariki.

1
05/32.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 32 Baada ya Nuhu kuishi miaka miatano, akamzaa Shemu, Hamu, na Yafethi.

1
06/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Ikawa wakati watu walipoanza kuongezeka juu ya uso wa nchi na wana wa kike wakazaliwa kwao, \v 2 wana wa Mungu walipoona kuwa mabinti wa wanadamu ni wenye kuvutia. waliwachukua kuwa wake zao, kila waliye mchagua. \v 3 Yahwe akaema, " roho yangu haitasalia kwa mwanadamu milele, kwa kuwa wao ni nyama. Wataishi miaka 120."

1
06/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Majitu makubwa yalikuwa juu ya uso wa nchi nyakati hizo, na hata baada ya hapo. Hii ilitokea wakati wana wa Mungu walipowaoa binti za wanadamu, na kupata watoto pamoja nao. Hawa walikuwa watu hodari zamani, watu wenye sifa.

1
06/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Yahwe akaona kwamba uovu wa watu umezidi katika nchi, na kwamba mawazo ya mioyo yao daima inaelekea tu katika uovu. \v 6 Yahwe akajuta kuwa amemuumba mwanadamu juu ya nchi, na ikamuhuzunisha moyo wake.

1
06/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Kwa hiyo Yahwe akasema, "Nitamfutilia mbali mwanadamu ambaye nimemuumba katika uso wa nchi; mwanadamu na wanyama wakubwa, na vitambaavyo na ndege wa angani, kwa kuwa nimehuzunika kuwa nimeviumba." \v 8 Lakini Nuhu akapata neema ya upendeleo machoni pa Yahwe.

1
06/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Kulikuwa na matukio kumuhusu Nuhu. Nuhu alikuwa mtu mwenye haki, na asiye na lawama miongoni mwa watu wa kipindi chake. Nuhu alitembea na Mungu. \v 10 Nuhu akafanyika baba wa wana watatu wa kiume: Shem, Ham na Yafeti.

1
06/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Nchi iliharibika mbele za Mungu, na ikajaa ghasia. \v 12 Mungu akaiona nchi; tazama, ilikuwa imeharibika, kwa kuwa wote wenye mwili walikuwa wameharibu njia zao juu ya nchi.

1
06/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Mungu akamwambia Nuhu, "Nimeona kuwa sasa niwakati wa mwisho kwa wote wenye mwili, kwa kuwa inchi imejaa ghasia kutokana na wao. Hakika, nitawaharibu wao pamoja na nchi. \v 14 Tengeneza safina ya mti wa mvinje kwa ajili yako. Tengeneza vyumba katika safina, na vifunike kwa lami ndani na nje. \v 15 Hivi ndivyo utakavyofanya: urefu wa safina dhiraa miatatu, upana wake dhiraa hamsini, kwenda juu kwake dhiraa thelathini.

1
06/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Tengeneza paa la safina, na ulimalize kwa kipimo cha dhiraa kutoka juu ubavuni. Weka mlango katika ubavu wa safina na utengeneze dari ya chini, ya pili na ya tatu. \v 17 Sikiliza, nimekaribia kuleta gharika ya maji juu ya nchi, kuharibu wenye mwili wote wakaao ndani ya nchi wenye pumzi ya uhai chini ya mbingu. Kila kitu kilichopo juu ya nchi kitakufa.

1
06/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Lakini nitalifanya thabiti agano langu na wewe. Utaingia ndani ya safina, wewe, na wana wako wa kiume, na mke wako, pamoja na wake za wanao. \v 19 Kwa kila kiumbe hai chenye mwili, viwili vya kila aina utavileta ndani ya safina, ili visalie hai pamoja nawe, vya kike na vya kiume.

1
06/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Katika ndege kwa jinsi yake, na wanyama wakubwa kwa jinsi yake, kila kitambaacho ardhini kwa jinsi yake, viwili viwili vya kila aina vitakuja kwako ili viwe salama. \v 21 Kusanya kila aina ya chakula kinacholiwa kwa ajili yako na ukitunze, ili kwamba viwe chakula chako na chao." \v 22 Kwa hiyo Nuhu akafanya hivi. kulingana na yote ambayo Mungu alimuagiza, ndivyo alifanya.

1
07/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Yahwe akamwambia Nuhu, "Njoo, wewe na nyumba yako wote, katika safina, kwa kuwa nimeona kuwa wewe ni mwenye haki mbele yangu katika kizazi hiki. \v 2 Kwa kila mnyama aliye safi utakuja nao saba wa kiume na saba wa kike. Na kwa wanyama wasio safi, lete wawili wawili, wakiume na wakike. \v 3 Pia na kwa ndege wa angani, lete saba wa kiume na saba wa kike, ili kuhifadhi kizazi chao juu ya uso wa nchi yote.

1
07/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Kwa kuwa ndani ya siku saba nitasababisha mvua kunyesha juu ya nchi muda wa siku arobaini mchana na usiku. Nitaharibu kila kiumbe hai nilichokiumba juu ya uso wa ardhi." \v 5 Nuhu alifanya yote ambayo Yahwe alimuagiza.

1
07/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Nuhu alikuwa na umri wa miaka mia sita wakati gharika ilipokuja juu ya nchi. \v 7 Nuhu, watoto wake wa kiume, mke wake, na wake za watoto wake waliingia katika safina pamoja kwa sababu ya maji ya gharika.

1
07/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Wanyama ambao ni safi na wanyama ambao si safi, ndege, na kila kitambaacho juu ya ardhi, \v 9 wawili wawili mume na mke wakaja kwa Nuhu na wakaingia katika safina, kama vile Mungu alivyokuwa amemwagiza Nuhu. \v 10 Ikawa kwamba baada ya siku saba, maji ya gharika yakaja juu ya nchi.

1
07/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Katika mwaka wa mia sita wa maisha yake Nuhu, katika mwezi wa pili, katika siku ya kumi na saba ya mwezi, katika siku iyo hiyo, chemchemi zote za vilindi vikuu zilipasuka na kufunguka, na madirisha ya mbinguni yakafunguka. \v 12 Mvua ikaanza kunyesha juu ya nchi kwa siku arobaini mchana na usiku.

1
07/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Katika siku iyo hiyo Nuhu pamoja na watoto wake, Shem, Ham, na Yafethi na mke wa Nuhu, na wale wake watatu wa wana wa Nuhu pamoja waliingia katika safina. \v 14 Waliingia pamoja na kila mnyama wa mwitu kwa jinsi yake, na kila mnyama wa kufugwa kwa jinsi yake, na kila kitambaacho juu ya ardhi kwa jinsi yake, na kila aina ya ndege kwa jinsi yake, kila aina ya kiumbe chenye mabawa.

1
07/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Viwili viwili katika kila chenye mwili ambacho kilikuwa na pumzi ya uhai kilikuja kwa Nuhu na kuingia katika safina. \v 16 Wanyama walioingia ndani walikuwa wakiume na kike katika wote wenye mwili; wakaingia kama vile Mungu alivyokuwa amemwagiza. Kisha Yahwe akawafungia mlango.

1
07/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Kisha gharika ikaja juu ya nchi kwa siku arobaini, na maji yakaongezeka na kuinua safina juu ya nchi. \v 18 Maji yakafunika kabisa nchi, na safina ikaelea juu ya uso wa maji.

1
07/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Maji yakaongezeka zaidi juu ya nchi kiasi kwamba milima yote mirefu ambayo ilikuwa chini ya anga ikafunikwa. \v 20 Maji yakaongezeka dhiraa kumi na tano juu ya vilele vya milima.

1
07/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Vitu vyote vyenye uhai ambavyo vilitembea juu ya nchi vilikufa: ndege, mifugo, wanyama wa mwituni, viumbe hai vyote kwa wingi vilivyoishi juu ya nchi, pamoja na watu. \v 22 Viumbe hai vyote ambavyo vilikaa juu ya ardhi, vilivyo pumua pumzi ya uhai kwa njia ya pua, vilikufa.

1
07/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Hivyo kila kilichokuwa hai ambacho kilikuwa juu ya uso wa mchi kilifutwa, kuanzia watu mpaka wanyama wakubwa, mpaka vitambaavyo, na mpaka ndege wa angani. Vyote viliangamizwa kutoka kwenye nchi. Nuhu tu pamoja na wale waliokuwa naye kwenye safina ndio walisalia. \v 24 Maji haya kuzama chini ya nchi kwa muda wa siku miamoja na hamsini.

1
08/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Mungu akamtazama Nuhu, wanyama wote wa mwitu, na wanyama wote wa kufugwa ambao walikuwa pamoja naye kwenye safina. Mungu akafanya upepo uvume juu ya nchi, na maji yakaanza kuzama chini. \v 2 Chemichemi za vilindi pamoja na madirisha ya mbingu vikafungwa, na mvua ikakoma kunyesha. \v 3 Maji ya gharika yakaanza kuzama kidogo kidogo katika nchi. na mwisho wa siku miamoja na hamsini maji yakawa yamezama chini.

1
08/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 safina ikatulia katika mwezi wa saba, siku ya kumi na saba ya mwezi, juu ya milima ya Ararati. \v 5 Maji yakaendelea kuzama chini hadi mwezi wa kumi. Siku ya kwanza ya mwezi, vilele vya milima vikaonekana.

1
08/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Ikatokea kwamba baada ya siku arobaini Nuhu alifungua dirisha la safina ambayo aliitengeneza. \v 7 Akatuma kunguru na akaruka hadi maji yalipo kauka katika nchi.

1
08/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Kisha akatuma njiwa kuona kama maji yamezama chini kutoka kwenye uso wa nchi, \v 9 lakini njiwa hakuona sehemu ya kutua unyayo wake, na akarudi kwake ndani ya safina, kwa kuwa maji yalikuwa bado yamefunika nchi yote. Akanyoosha mkono wake, akamchukua na kumuweka ndani ya safina pamoja naye.

1
08/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Akasubiri siku saba zingine akatuma tena njiwa kutoka kwenye safina. \v 11 Njiwa akarudi kwake jioni. Tazama! katika mdomo wake kulikuwa na jani bichi la mzeituni lililochumwa. Kwa hiyo Nuhu akatambua kuwa maji yamekwisha zama chini ya nchi. \v 12 Akasubiri siku saba zingine na akamtuma njiwa tena. Njiwa hakurudi kwake tena.

1
08/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Ikawa kwamba katika mwaka wa mia sita na moja, katika mwezi wa kwanza, siku ya kwanza ya mwezi, maji yalikuwa yamekauka katika nchi. Nuhu akaondoa kifuniko cha safina, akatazama nje, na akaona kwamba, Tazama, uso wa nchi ulikuwa umekauka. \v 14 Katika mwezi wa pili, siku ya ishirini na saba ya mwezi, nchi ilikuwa imekauka.

1
08/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Mungu akamwambia Nuhu, \v 16 "Toka nje ya safina, wewe, mke wako, wanao wa kiume, na wake wa wanao pamoja nawe. \v 17 Wachukuwe utoke nje pamoja nao kila kiumbe hai chenye mwili ambacho kiko nawe - ndege, wanyama wa kufugwa, na kila kitambaacho ambacho hutambaa juu ya nchi - ili kwamba viweze kukua na kuwa na idadi kubwa zaidi ya viumbe hai katika nchi yote, kwa kuzaliana na kuongezeka juu ya nchi."

1
08/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Kwa hiyo Nuhu akatoka nje pamoja na watoto wake wa kiume, mke wake, na wake wa wa wanawe pamoja naye. \v 19 Kila kiumbe hai, kila kitambaacho, na kila ndege, na kila kiendacho juu ya nchi, kwa kabila zao, wakaiacha safina.

1
08/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Nuhu akajenga madhabahu kwa Yahwe. Akachukua baadhi ya wanyama walio safi na baadhi ya ndege walio safi, na kutoa sadaka ya kuteketezwa juu ya madhabahu. \v 21 Yahwe akanusa harufu nzuri ya kuridhisha na akasema moyoni mwake, " Sita laani tena ardhi kwa sababu ya mwanadamu, ingawa nia za mioyo yao ni mbaya tokea utoto. Wala sita haribu kilakitu chenye uhai, kama nilivyo fanya. \v 22 Wakati nchi isaliapo, majira ya kupanda mbegu na mavuno, baridi na joto, kiangazi na majira ya baridi, mchana na usiku havitakoma."

1
09/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Kisha Mungu akambariki Nuhu na wanawe, na kuwaambia, "Zaeni, mkaongezeke, na muijaze nchi. \v 2 Hofu na utisho wenu vitakuwa juu ya kila mnyama aliye hai juu ya nchi, juu ya kila ndege wa angani, juu ya kila kitu kiendacho chini juu ya ardhi, na juu ya samaki wote wa baharini. Vimetolewa katika mikono yenu.

1
09/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Kila kitu kiendacho kilicho hai kitakuwa chakula kwa ajili yenu. Kama nilivyo wapa mimea, sasa nawapa kila kitu. \v 4 Lakini msile nyama pamoja na uhai wake - yaani damu yake - ndani yake.

1
09/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Lakini kwa ajili ya damu yenu, uhai uliomo katika damu yenu nitataka malipo. Kutoka katika mkono wa kila mnyama nitaitaka. Kutoka katika mkono wa kila mtu, yaani, kutoka katika mkono wa yule ambaye amemuua ndugu yake, nitataka fidia kwa ajili ya uhai wa mtu huyo. \v 6 Yeyote amwagaye damu ya mtu, kwa njia ya mtu damu yake itamwagwa, kwa sababu ilikuwa ni katika mfano wa Mungu kwamba Mungu alimuumba mtu. \v 7 Na hivyo nanyi zaeni na kuongezeka, sambaeni katika inchi yote na muongezeke juu yake."

1
09/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Kisha Mungu akazungumza na Nuhu na wanae pamoja naye, akisema, \v 9 "Kwa ajili yangu, sikiliza! Ninakwenda kulithibitisha agano langu pamoja nawe na uzao wenu baada yenu, \v 10 na kwa kila kiumbe hai kilicho pamoja nawe, pamoja na ndege, mnyama wa kufugwa, na kila kiumbe cha nchi pamoja nawe, kuanzia kwa wote waliotoka kwenye safina, mpaka kwa kila kiumbe hai juu ya nchi.

1
09/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Kwa sababu hii ninalithibitisha agano langu pamoja nanyi, kwamba hapatatokea kuangamizwa kwa mwenye mwili kwa njia ya maji ya gharika. Tena hapatatokea gharika ya kuangamiza nchi." \v 12 Mungu akasema, " na hii ndiyo ishara ya agano ambalo ninafanya kati yangu na ninyi pamoja na kila kiumbe hai kilicho pamoja nanyi, kwa vizazi vyote vya baadaye: \v 13 Nimeweka upinde wangu wa mvua katika wingu, na itakuwa ndiyo ishara ya agano kati yangu na nchi.

1
09/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Hata itakuwa nitakapoleta wingu juu ya nchi na upinde wa mvua ukaonekana katika wingu, \v 15 ndipo nitakumbuka agano langu, ambalo ni kati yangu na ninyi na kila kiumbe hai cha wote mwenye mwili. Maji hayatafanyika tena gharika kuharibu wote wenye mwili.

1
09/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Upinde wa mvua utakuwa katika mawingu na nitauona, ili kukumbuka agano la milele kati ya Mungu na kila kiumbe hai cha wote wenye mwili ambacho kiko juu ya nchi." \v 17 Kisha Mungu akamwambia Nuhu, " Hii ni ishara ya agano ambalo nimelithibitisha kati yangu na wenye mwili wote ambao wako juu ya nchi."

1
09/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Wana wa Nuhu ambao walitoka katika safina walikuwa ni Shemu, Hamu, na Yafethi. Na Hamu akamzaa kanaani. \v 19 Watatu hawa walikuwa ndio wana wa Nuhu, na kutokea kwa hawa nchi yote ikajaa watu.

1
09/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Nuhu akaanza kuwa mkulima, na akapanda mizabibu. \v 21 Akanywa sehemu ya divai na akalewa. Akawa amelala hemeani uchi.

1
09/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Kisha Hamu, baba yake na Kanaani, akaona uchi wa baba yake na akawaambia ndugu zake wawili waliokuwa nje. \v 23 Kwa hiyo Shemu na Yafethi wakachukua kanzu wakaitanda juu ya mabega yao, na wakatembea kinyumenyume na wakaufunika uchi wa baba yao. Nyuso zao zikiwa zimegeuka nyuma upande mwingine, kwa hiyo hawakuona uchi wa baba yao.

1
09/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 Nuhu alipozinduka kutoka katika ulevi wake, alijua ni jambo gani mtoto wake mdogo amemfanyia. \v 25 Hivyo akasema, "Alaaniwe Kanaani. Na awe mtumishi kwa watumishi wa ndugu zake."

1
09/26.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 26 Akasema pia, Yahwe, Mungu wa Shemu, abarikiwe, Kanaani na awe mtumwa wake. \v 27 Mungu na apanuwe mipaka ya Yafethi, na afanye makazi yake katika hema za Shemu. Kanaani na awe mtumwa wake."

1
09/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 Baada ya gharika, Nuhu aliishi miaka miatatu na hamsini. \v 29 Siku zote za Nuhu zilikuwa ni miaka mia tisa na hamsini, na kisha alikufa.

1
10/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Hivi ndivyo vilikuwa vizazi vya wana wa Nuhu, ambao ni, Shemu, Hamu, na Yafethi. Wana wa kiume walizaliwa kwao baada ya gharika.

Some files were not shown because too many files have changed in this diff Show More