ndg_reg/62-2PE.usfm

102 lines
8.4 KiB
Plaintext

\id 2PE
\ide UTF-8
\h 2 Petro
\toc1 2 Petro
\toc2 2 Petro
\toc3 2pe
\mt 2 Petro
\c 1
\cl Isura ye 1
\p
\v 1 Simoni Petro, Mmanda na mtume wa Yesu Kristo, kwa balo baipokile imani yeyelo ya thamani kati twaipokile twenga, imani yaibile nkati ya haki ya Nnongo na mwokozi witu Yesu Kristo.
\v 2 Neema ibe kwinu, amani iyongeyekeye pitya maarifa ga Nnongo na Ngwana witu Yesu.
\v 3 Pitya maarifa ga Nnongo tupatike makowe gake yote kwa ajili ya uchaji wa maisha. Boka kwa Nnongo ywatukemile kwa ajili ya uzuru wa utukufu wake.
\v 4 Kwa ndela yee atitutumanisha ahadi ngolo ya thamani. Apangite nyoo ili kutupanga barithi ba asili ya Nnongo, kwa kadiri tuyendelya kuuleka ubou wa dunia yee.
\v 5 Kwa sababu yee, mupange bidii kuongeza uzuri kwa ndela ya imani yinu, kwa sababu ya uzuri, maarifa.
\v 6 Pitya maarifa, kiasi, pitya kiasi saburi, na pitya saburi utauwa.
\v 7 Pitya utuwa upendo wa alongo na pitya upendo wa alongo, upendo.
\v 8 Mana makowe aga gabile nkati yinu, yayendelya kukua nkati yinu, bai mwenga mwapangika kwaa tasa au bandu babeleka kwaa matunda katika maarifa ga Ngwana witu Yesu Kristo.
\v 9 Lakini yeyote ywabile kwaa na makowe aga, ugabona makowe ga papipi kae; ywembe nga ipofu, atisahau utakaso ba sambi yake ya kale.
\v 10 Kwa eyo, alongo bango, mupange juhudi ili kujihakikishia uteule na wito kwa ajili yinu. Kati mugapanga aga, mwalowa kuikwaa.
\v 11 Nga nyoo mwaipatia bingi ba nnango wa jingya katika upwalume wangayomoka wa Ngwana witu na nkochopoli Yesu Kristo.
\v 12 Kwa eyo nenga nalowa pangika tayari kuwakombokya makowe aga kila mara, hata kama mwayatanga, nambeambe mubile imara katika kweli.
\v 13 Nawaza kuwa nibile sahihi kubaamsha na kuwakombokya nnani ya makowe aga, ningali nibile nkati ya hema lee.
\v 14 Kwa mana nitangite kuwa muda kwaa mrefu nalowa liondoa lihema lyango, kati Ngwana Yesu Kristo atubonekeya.
\v 15 Nalowa jitahidi kwa bidii kwa ajili yinu ili mkombokeye makowe aga baada ya nenga kuboka.
\v 16 Kwa mana twenga twafata kwaa hadithi zatijingya kwa ustadi palo patulongela nnani ya ngupu na kujidhihirisha kwa Ngwana witu Yesu Kristo, ila twenga tubile mashahidi ba utukufu wake.
\v 17 Ywembe ywapokile utukufu na heshima boka kwa Nnongo tate palo lilobe liyowanike boka katika utukufu nkolo yatibaya."Ayoo nga mwana wango, mpendwa wango ambaye ywatipendezwa niywembe."
\v 18 Tuyowine lilobe lee iboka kumaunde palo tubile niywembe katika chelo kitombe kitakatifu.
\v 19 Tubile ni lee neno lya unabii lyalithibitike, ambalo kwa lee mwapanga vyema kuliteketeza. Kati taa ya'ing'ara mulibendo mpaka bwamba na ndondwa ga mawio zatibonekana katika mioyo yinu.
\v 20 Mutangite aga panga, ntopo unabii wauandikilwe kwa sababu ya kuwaza mwabene kwa nabii mwene.
\v 21 Kwa mana ntopo unabii wabile kwa mapenzi ga bandu, ila bandu bapangilwe na Roho mtakatifu ywalongela boka kwa Nnongo.
\c 2
\cl Isura ye 2
\p
\v 1 Manabii ba ubocho walowa bokanga kwa Baisraeli, na balimu wa uongo walowa isa kae kwinu. Kwa siri balowa kuapeya mapundisho ga ubocho nabo walowa kunkengama Ngwana ywaabapemeya. Wajiletya uharibifu ba haraka nnani yabe bene.
\v 2 Bingi wapala ndela yabe ya oni na pitya bembe waikufuru ndela ya ukweli.
\v 3 Kwa uchoyo walowa kubanyonya bandu pitya maneno ga ubocho. Hukumu yabe ichelewa kwaa, uharibifu walowa kubakengama.
\v 4 Maana Nnongo abaleka kwaa malaika balo batikengeuka. Ila abatombwile kuzimu ili batabilwe ni minyororo mpaka hukumu paiisile nnani yabe.
\v 5 Wala Nnongo ativumiliya kwaa ulimwengu wa kunchogo. Ila, atimuhifadhi Nuhu, ywabile ni wito wa haki, pamope ni benge saba, muda wailekite garika nnani ya ulimwengu wabaasi.
\v 6 Nnongo atiihukumu miji ya Sodoma na Gomora kiasi cha kupangika majivu na uharibifu ili ibe mpwano kwa ajili ya baovu katika masoba gaisa.
\v 7 Lakini paapangite lee, atinlopwa Lutu mundu ywa haki ywabile atihuzinishwa na tabia chafu za bakengamite kwaa sheria ya Nnongo.
\v 8 Kwa mana yolo mundu wa haki, ywatama nabo masoba gatiitesa nafsi yake kwa ajili ya yalo yaagayowine na kugabona.
\v 9 Kwa eyo Ngwana atangite jinsi ya kubalopwa bandu bake wakati wa mateso na namna ya kubavumilia baovu kwa ajili ya hukumu katika lisoba lya mwisho.
\v 10 Hakika woo nga ukweli kwa balo bayendelya tama katika tamaa ya yega yee na kugadharau mamlaka. Bandu ba jinsi yee babile ni ujasiri katika dhamiri yabe. Batiyogopa kwaa kubakufuru atukufu.
\v 11 Ingawa malaika babile ni uwezo na ngupu kuliko bandu, lakini baweza kwaa letya hukumu dhidi yabe kwa Ngwana.
\v 12 Lakini aba banyama babile kwaa na akili batichengwa kwa asili ya kukamwa na kuangamizwa.
\v 13 Baumizwa kwa ujira ba mabou gabe. Mutwekati wote utama kwa anasa. Batijaa ubou na maovu. Upuraikia anasa za ubocho batisherehekea ni wenga.
\v 14 Minyo gabe yatipunikwa na umalaya; batosheka kwaa panga sambi. Ubalaghai na kubatombwa baumini achunu katika sambi. Babile na mioyo yatijaa tamaa, ni bana balaanilwe.
\v 15 Bailekite ndela ya ukweli. Batitomboka na kuikengama ndela ya Balaam mwana wa Beori, ywapenda kupata malipo ga udhalimu.
\v 16 Lakini ywakanikiwa kwa ajili ya ukosaji wake. Mbonda ywabile bubu alongela kwa lilobe lya bandu, atiukenga uchizi ba nabii.
\v 17 Bandu aba ni kati chemichemi ibile kwaa na mase. Ni kati maunde galowa tolwa ni mbepo. Liunde zito lyatihifadhiwa kwa ajili yabe.
\v 18 Ulongela kwa majipuno matupu. Ubatombwa bandu kwa tamaa ya yega. Ubalaghai bandu bajaribia kutila babo batama katika ukosaji.
\v 19 Ubaahidi bandu uhuru muda wabe bene ni amanda ba sambi ya ufisadi. Mana mundu upangwa kuba mmanda wa chelo chamtawala.
\v 20 Ywembe ywajiepushae ni uchafu ba ulimwengu kwa kutumia maarifa ga Ngwana na mkochopoli Yesu Kristo, na boka po atikerebukia uchapu woo kae, hali yake upangika inoite kwaa kuliko yelo ya mwanzo.
\v 21 Inoite bandu kati abo baitangite kwaa ndela ya haki kuliko kuitanga na boka po kuzileka kae amri takatifu zabapeilwe.
\v 22 Mithali yee huwa na ukweli kwabe."mapwa ukulebukiya matapishi gabe. Ngobe ywatioshwa ukerebuka kae mu'matope.
\c 3
\cl Isura ye 3
\p
\v 1 Nambeambe, nendakukuandikiya wenga, mpendwa yee barua ya ibele ili kukuamsha katika akili,
\v 2 ili panga uweze kombokya maneno galongelwa kabla na manabii batakatifu na kuhusu amri ya Ngwana witu na mkochopoli kwa tumya mitume.
\v 3 Ulitange lee kwanza, panga basaliti baisa katika masoba ga mwisho kubasaliti mwenga, kabayenda sawasawa na malengo gabe.
\v 4 Na pababaya, "Ibile kwaako ahadi ya kerebuka? Tate bitu bawile, Lakini ilebe yote ibile nyoo tangu mwanzo wa uumbaji.
\v 5 Mana bapangite kati basahau panga nnema ni kumaunde itumbwilwe bokana na mase na pitya mase zamani za kale, kwa neno lya Nnongo,
\v 6 na panga pitya neno lyake na mase gapangite ga ulimwengu kwa kipindi chelo, mana itei imejaa mase, itiharibika.
\v 7 Lakini nambeambe kumaunde na nnema itunzwile kwa neno lelo lelo kwa ajili ya mwoti. Yatihifadhiwa kwa ajili ya lisoba lya hukumu na maangamizi ga bandu babile kwaa Nnongo.
\v 8 Ayee iweza kwaa kuuchenga ujumbe wako, mwapendwile, panga lisoba limo kwa ngwana ni kati miaka elfu jimo. Na miaka elfu moja ni kati lisoba limo.
\v 9 Ayee panga kwaa Ngwana apanga mbole mbole kutimiza ahadi, kati yaifikiriwa kuwa, Lakini ywembe ni mvumilivu kwa ajili yinu, ywembe utamani kwaa hata yumo aangamie. Lakini utamaniya kutoa muda ili bote bapate kutubu.
\v 10 Ingawa, lisoba lya Ngwana ipangike kati mwii, kumaunde yapeta kwa kukombwa lilobe. Ilebe yalowa tiniwa mwoto. Nchi ni ilebe yote ibile yalowa bekwa wazi.
\v 11 Kwa kuwa ilebe yote vyalowa teketea kwa ndela yee. Je wapangika mundu wa aina gani? Utame kitakatifu na maisha ga ki'Nngongo.
\v 12 Upalikwa kutanga na kuyowa haraka ujio wa lisoba lya Nnongo. Lisoba lee kumaunde kwalowa teketezwa kwa mwoto. Na ilebe yalowayeyuka katika lyoto kali.
\v 13 Lakini bokana na ahadi yake, twalenda liunde lyayambe na nnema wayambe, ambapo wabile mu haki walowa tama.
\v 14 Nga nyo bapendwa kwa mana twatarajia ilebe yee, jitahidi kuwa makini na laumiwa kwaa na kuwa na amani pamope niywembe.
\v 15 Uzingatie uvumilivu wa Ngwana witu katika ukochopoli, kati mpendwa muinja witu Paulo, ywaandikiya mwenga, bokana na hekima ambayo apeyilwe.
\v 16 Paulo alongela kuhusu ago gote katika barua yake, kubile ni ilebe ambayo ni igumu kuitanga. Bandu babile kwaa na adamu na uimara bativiharibu ilebe nga nyo, Na mana bapangite kwa maandiki. Kueleka maangamizi yabembe.
\v 17 Nga nyo, apendwa kwa kuwa mugatangite ago. Mujilinde bene ili panga kana mupotoshwe na abocho wa balaghai na kupoteza uaminifu.
\v 18 Lakini mukue katika neema na ufahamu wa Ngwana na mkochopoli Yesu Kristo. Nambeambe utukufu ubile ni ywembe nambeambe na milele. Amina.