dav_reg/61-1PE.usfm

154 lines
14 KiB
Plaintext

\id 1PE
\ide UTF-8
\h 1 Petro
\toc1 1 Petro
\toc2 1 Petro
\toc3 1pe
\mt 1 Petro
\c 1
\cl Sura 1
\p
\v 1 Petro, mtume wa Jesu Kristo, kwa vhaghenyi vha mvhaghanyiko, kwa vhakombo lighwa, katika ponto yose, Galatia, Kapadokia, Asia na Bithinia.
\v 2 Kufumana na ufahamu ghwa Mlungu, Abha, kwa kuogheshighwa na NgoloMtakatifu, kwa utiifu, ghwa Jesu Kristo, na kwa kunyunyiriwa bhagha yake. Neema ike kwenyu na amani yenyu ichurighwe.
\p
\v 3 Mlungu aba wa mzuri wedu Jesu Kristo katika ubaha ghwa rehema yake, adinekie kuvhalwa upya kwa ujasiri ghwa kupala kuidia ufufuo ghwa Jesu Krisro kufuma kwa wafwie.
\v 4 Kwa upala usanonekaa, ndukagha na vhucha fu wala kughodua wahifadhiwa mbinguni kwa ajaili yenyu.
\v 5 Kwa uwezo wa Mlungu mdalindwa kuidia imani kwa wokovu ambogho upo tayari kufunulighwa katika nyakati ra mwisho.
\v 6 Bhoi wenyi katika ijhi, ingawa ijhi aha lazima kwenyu kukisikira kubhoa katika kugheriwq kwa aina mbalimbali.
\v 7 Ihi, ni kwa sababu imani yenyu idime kugheriwa, imani ambayo ikona thamani kuliko dhahabu, ambayo idalaghaya modonyi ambagho hugheria imani yenyu. Ihi hufumiria ili imani yenyu ipate kuva sifa, Utukufu, na heshima katika uunuo ghwa Jesu Kristo
\v 8 Ndammvhonie ye, lakini mdakunda. Ndammvhonaa ijhi aha, lakini mdaamini katika ye namkona furaha isadimaa kudedeka kwa furaha ichuiwe na utukufu.
\v 9 Idana mdapokea vheni matoeo gha imani yenyu, wokovu ghwa nafsi rengu.
\p
\v 10 Manabii vhalolie na kukotia kwa umakini kuhusu wokovu ughu, kuhusu neema amabayo kumacha yaka yenyu.
\v 11 Vhololie kuichi ni aina ki ya wokovu ambao ungecha. Vhalolie pia kuichi ni muda kingolo wakristo akogho ndenyi yavhe akogho adaaria indoi navho. Ihi yakogho idafumiria wakati akogho adavhazera mapema kuhusu vhwasi ghwa Kristo na utukufu ambagho ungemnughuria.
\v 12 Yafunuliwe kwa manabii kwamba vhakogho vha daghatumikia malagho agha, nasi kwa ajili yavhwe vheni bali kw aajili yenyu - masimulizi gha malagho agha kuidia vhajha vharedaa injili kwenyu kwa chia ya ngolo Mtakatifu wadumwa kufuma Mbingunyi, malagho ambagho hata malaika vhadatamani kuvhikwa mwari kwake.
\p
\v 13 Kwa huvho fungeni vighonu va akili renu. Mkevhatulivu katika fikra renu. Mke na uja siri ukaimilikie neemenyi ambayo ima yaredwa kwenyu wakati ghwa kufunulighwa kwa Jesu Kristo.
\v 14 Sa vhana vhatiifu, msafungwe vheni na tamaa amabro mwarinughiria wakati mkogho ndamdaa teganyi.
\v 15 Lakini sa vhuja awavhangie andu ako mtakatifu, na inyo, pia, mkevhatakatifu katika tabia yenyu yose maishenyi.
\v 16 Kwakuwa yaandikwa, "iwenyi vhatakatifu, kwa sababu nyi ni mtakatifu."
\p
\v 17 Na kama mkivhanga "aba" yujha ahukumuye kwa haki kulingana na chughu cha kila mnd, tumia makati gha charo chako katika unyenyekevu.
\v 18 Mdafaamu kwamba ndaikogho kwa fedha angu dhahabu - vindu vinonekaa ambavo mwakombolighwa kufuma kwenye tabia renyu ra ujinga ambaro mwakifunzieghe kufuma kwa aba renyu.
\v 19 Lakini mwakombo lighwa kwa bhaghaya heshima ya Kristo, kama ya ng'ondi aso na hi la wa la idoa.
\v 20 Kristo wachaghuliwe kabla ya misingi ya dunia, lakini idamu maruvha agha gha mwisho, wafunuliwa kwenyu.
\v 21 Mdamwamini Mlungu kuidiaye, ambaye Mlungu wamfufuie kufuma kwa wafwie na ambae wamneka utukufu ili kwamba imani yenyu na ujasiri uke katika Mlungu.
\p
\v 22 Mwabonya nafsi renu kuka safi kwa utii wa ijha loli, kwa idhumuni jha lakundo jha kimbari jhikogho na unyofu, huvho kundaneni kwa bidii fuma monyonyi.
\v 23 Mwavalwa kala mara ya kavhi, si kwa mbeuinone ka, elakini kufuma katika mbeu isanonekaa, kuidia bhanana na ilagho jha Mlungu jhabakie.
\v 24 Kwa maana "Mvhi yose ni sa madundu, na utukufu ghwake ghvose ni sa irua jha idundu. Idindu jhidaoma, na irua jhidaghwa.
\q
\v 25 Elakini ilagho jha mzuri jhidasangalika kala na kala." uhu nivhuzuri ambao watangaziwe sa injili kwenyu.
\c 2
\cl Sura 2
\p
\v 1 Kwaa huwo wikenyi mbali kiwiwi wose, kuembiwa, unafiki, Kiristo na kashifa.
\v 2 Kama wana wakoho mkunda mariwa gaboie ya kiroho ili kwamba mdime kuzogua ndenyi ya kuela,
\v 3 Kama mwatoa kwamba Mzuri ni amboie.
\p
\v 4 Chonyi kwake eko igwe mbanana ja kudumu ambajo ja legiwe na wandu, lakini ijo ja sagulwe ni Mlungu na ni ja thamani kwake.
\v 5 Inyo pia ni kama magwe geko mbanana gaagiwe igu kuka nyumba ya kiroho, ili kuka ukuhani Mtakatifu ambago hufunya dhabihu ra kiroho rakukundigwa kwa Mlungu kuidia Jsu Kristo.
\v 6 Andiko ja dala huwu, "Nguwa, nawika katika sayuni igwe ja mbai ibaha na jisaguliwe na ja thamani. wowose aaminiye katika ye ndawona waya."
\p
\v 7 Huwo heshima ni yenyu kwenyu hiyo mwaamini. Lakini, "Igwe jilegiwe ni waagi iji ja kaiya igwe ibaha ja mbai."
\p
\v 8 Na igwe ja kukuwa na lwala lwa kukuwa. Awo wakuwa, walegie ilago, kwa jija ambajo pia warikogo wasaguliwe kwajo.
\p
\v 9 Lakini inyo ni mbari wasaguliwa, ukluhani gwa Mzui, isanga takatifu, wandu wa miliki ya Mlungu, ili kwamba wadime kutangaza madedo ga zamie ga uja wa wanga kufuma kirenyi kucha kunu kuelenyi kwake ya ajabu.
\v 10 Inyo imbiri ndammanyie wandu, lakini indana inyo ni wandu wa Mlungu. i nyo ndamwokerie, rehema, lakini mwawokea rehema.
\p
\v 11 Wakundwa, na miwanga kama wagenyi na wazururaji kukiima kufuma andu tamaa izamie ra zambi, ambaro ridakamana kondo na roho renyu.
\v 12 Mdapaswa kuka na mambaro gamboie kati ya masanga, ili kwamba, kama wadima wamidete kama kwamba mwabonya malago gazamie, wadimawangulwa chagu chenyu dimboie na kumtongola Mlungu katika ituku ja kucha kwake.
\p
\v 13 Tii kila mamlaka ya mudamu kwa ajili ya Mzuri, ikika Mzuri kama mbaha,
\v 14 Ikika watawala wadumiwe kuwaadhibu wabonya gazamie na kuwatongola waja wabonyaga gamboie.
\v 15 Kwa kua ni lukundo lwa Mlungu, kwamba kwa kubonya gamboie nyamakimya madedo ga kipuuzi ga waduwakelu.
\v 16 Kama wandu huru, msagumbonie uhuru gwenyu kama kama ngubiko kwa gazamie, bali mke kama wabonya kazi wa Mlungu.
\v 17 Waheshimu wandu wose, wakundenyi mbari. Mboenyi Mlungu, mheshimunyi Mzuri.
\p
\v 18 Watuma, warumienyi Mzuri wenyu kwa heshima yose siotu Mzuri weko wamboie na wapole, lakini pia weko wazamie.
\v 19 Kwa kuka tongolo kama wowose arumi riaga kuvaririka ituku akilagasha kusandae haki kwa sababu ya dhamiri yake kwa Mlungu.
\v 20 Huwo basi ni sifaki kustahimili, mkibonya zambi na kukabwa makofi? Lakini kustahimili, mkibonya ghaboie na kupata mateso, ughu nio uboie hasa imbiri ya Mlumgu.
\v 21 Kwa iji mwawangiwe, kwa sababu Kristo pia aliteswa kwa ajili yenyu, wawasigie mfano kwa ajili yenyu kurigina mawadio gake.
\v 22 Ye ndabonyie zambi, wala ndawonekane kuembia gogose momunyi kwake.
\q1
\v 23 Matuku ye akianyirigwa, ndawujirie kuanyira, akiteseka, ndatishie, bali wakifunie mweni kwake ye ahu kumuye kwa haki.
\q1
\v 24 Ye mweni waridwae zambi redu katika muwi gwake andu mdi, ili kwamba disake na andu sena katika zambi, na kwamba diishi kwa ajili ya haki. kwa kukabwa kwake nyi namboa.
\v 25 Wose mrikogo mkinganya kama ng'ondi walagaya, lakini indana mwawuya kwa mlisha na mlindiri wa wa roho renyu.
\c 3
\cl Sura 3
\p
\v 1 Kwa chia ihi, inyo ambao mwa baka mdapaswa kukafunya kwa bomi benyu inyobeni, ili hata kama baadhi yabwe ndabajitii idedo, kuidia tabia ra baha babwe badima kurudwa pasipo idedo,
\v 2 Kwa sababu bo beni wadima ibona tabia yenyu iboie pamoja na heshima.
\v 3 Ihi ibonyeke siyo kwa mapambo ga shigadi- kusuka mavunga, vito va dhahabu, au mavazi ga mitindo.
\v 4 Lakini badala yake ibonyeke kwa undu gwa ndenyi ya ngolo, na kuzidi katika kuboa kwa unyenyekevu na kunyama kwa ngolo, ambayo ni gwa thamani imbiri ya Mlungu.
\v 5 Kwa kugora baka batakatifu bakipambie beni kwa chia ihi. Berikogo na imani katika Mlungu bakabatii bomi babwe beni.
\v 6 Kwa chia ihi sara wamtiiye Ibrahimu na kumbanga ye "bwana" wake. Na inyo idana ni bana bake kama mkabonya geke gamboie na kama ndamuboaga gazamie.
\p
\v 7 Kwa chia iyoiyo, inyo bomi mdapaswa kukaia na baka benyu mkimanya kuwa bo ni bambenyu ba kibaka dhaifu, mkibamanya bo kamababokeri benyu ba zawadi ya bulazi. Bonyenyi hubu ili kwamba malombi genyu gasi zuiliwe.
\p
\v 8 Hatimaye inyo bose, mke na nia imweri, bakana mbazi, lukundo kama mbari, banyenyekevu, na bapole.
\v 9 Msashanirie jizamie kwa jizamie, au itusi kwa itusi. Kinyume chake, mwendelee kubariki, kwa sababu ihi mwabangiwe, ili kwamba mdime kurithi baraka.
\v 10 "Ye akundie kukunda maisha na kubona ituku iboie lazima aguzuie lumi lwake kwa gazamie momu ghwake kudeda hila.
\q
\v 11 Na aageuke na kusiga gazamie na kubonya gamboie. Alole amani na kuinuga.
\q
\v 12 Meso ga Bwana gambonaa akona haki na madu gake gasikira maombi gake. Lakini bushu gwa Bwana guko kinyume cha baja babonyaa gazamie."
\p
\v 13 Nani adimaa kumidhuru inyo, ikiwa mwatamani jiko iboie?
\v 14 Lakini kama nkateseka kwa haki, mwabarikiwa. Msaboe gaja ambago bo bagaboa na wasi wasi.
\v 15 Badala yake, mumbike Kristo Bwana katika ngolo renye kama mtakatifu, kila mara mke tayeri kumjibu kila mundu abakotiaga inyo kwa indoi mkana matumaini katika Mlungu. Bonyeni hubu kwa upole na heshima.
\v 16 Mke na dhamiri iboie ili kwamba bandu baanyiraa maisha genyu gamboie katika Kristo badime kuaibika kwa sababu badedaa kinyume dhidi yenyu kana kwamba mwarikogo babonyaa azimie.
\v 17 Ni nicha zaidi, ikiwa Mlungu adatamani, kwamba mwateseka kwa kubonya gamboi kuliko kwa kubonya gazamie.
\v 18 Kristo pia watesekie mara imweri kwa ajili ya zambi. Ye ambaye akona haki watesekie kwa ajili yedu, ambabo ndidikogo bakana haki, ili kwamba udirede isi kwa Mlungu. Wafuye katika mubi, lakini wabonyiwe mlazi katika roho.
\v 19 Katika roho wagendie na kurihubiri roho ambaro ijiaha riko kifungonyi.
\v 20 Ndirikogo tiifu wakati buvumilivu gwa Mlungu gukogo gwa besera wakati gwa Nuhu, matuku ga kuagwa kwa safina, na Mlungu wakoe bandu batineri -nafsi- nane kufuma katika machi.
\v 21 Ihi ni alama ya ubatizo gubaokaga na inyo idana, siyo kama kuogesha buchama kufuma mubinyi lakini kama iombi ja dhamira iboie kwa Mlungu, kuidia ufufo gwa Jesu Kristo.
\v 22 Ye ako mkonu gwa kujogwa Mlungu. Wagendie mbingunyi. Malaika na mamlaka, na ndigi lazima vimtii ye.
\c 4
\cl Sura 4
\p
\v 1 Kwa huvho, kwakuwa Krristo watesekie katika muvhi, rwenyi silaha ra nia ijha yeni. Ye atesekie katika muvhi waingana na zambi.
\v 2 Mundu uyu ndaendelea sena kuishi katika tamaa ra muvhi, bali kwa mapenzi gha Mlungu, kwa maisha ghake yasalie.
\v 3 Kwa kuwa makati ghaidie ghatoshie kubonya malagho ambagho vhama taifa vhadakundi kubonya- ufisadi, nia izamie, vhulevi, vhulafi, gonda ra kipangani na ibada ra sanamu renye virea.
\v 4 Vhada fikiri ni ajabu andu mwaevheria kubonya malagho agho amweri navho, hivyo vhadanena ghazamie ighu yenyu.
\v 5 Ima vhafunya hesabu kwake akoo tayari kuhukumu vhahai na vhafwie.
\v 6 Kwa ikusudi ijhi injili yahubiriwe kwavhwe vhaduie kufwa, kwa andu vhameeriwe hukumiwa katika mivhi yavhwe sa vhadamu, ili vhadime kuishi kulingana na Mlungu katrika ngolo.
\v 7 Mwisho ghwa malagho ghose udacha. Kwahiyo, mke na ufahamu ukogho sahihi, na imwenyi na nia iboie kwa ajili ya maombi ghenu.
\v 8 Kabla ya malagho ghose, iwenyi na bidii katika lukundo kwa kila umweri, kwa kuwa lukundo ndaulolaa kufunula zambi ra vhamwe.
\v 9 Bonyereni ukarimu kwa kila umweri bila kunugh'unika.
\v 10 Kama ambavo kila umweri wenyu wavhokere karama, idumienyi katika kutavhariana, sa vhakeakimsi vhaboie vha karama nyingi rifunyiwe bure ni Mlungu.
\v 11 Kama mndu akiaria, na ike sa mausia gha Mlungu, na kama mndu akitavhara, na ikesa uwezo anekiwe ni Mlungu, ili kwamba kwa kila ilagho Mlungu apate kugimbikwa kuidia Jesu Kristo. Utukufu na uweza viko naye kala na kala. Amina.
\v 12 Wapendwa, msahesabu ijaribu ambajho hucha kuvhajaribu sa kindu kighenyi, ingawa kuko kindu kighenyi kirikogho kidatukia kwenyu.
\v 13 Elakini kwa kadiri mzidii kupata uzoefu ghwa vhavasi ghwa Kristo, boiwenyi ili kwamba mboiwe pia na kushangilia katika ufunuo ghwa utukufu ghwake.
\v 14 Japo mwanyirighwa kwa ajili ya irina jha Kristo, mwabarikiwa, kwa sababu ya ngolo wa utukufu na ngolo wa Mlungu adaka ighu yenyu.
\v 15 Elakini aseko yoyose ateswaa kama wabwa gha, mwivi, mbonya ghazamie, angu akishuhulishaye na malagho gha vhamwe.
\v 16 Elakini ikiwa mndu adateswa sa Mkristo, asavhone vhwaya, bali amtukuze Mlungu katika irina ijho.
\v 17 Kwa kuwa wakati ghwavafika kwa hukumu kuanzia nyumbenyi mwa Mlungu. Na kama idaanzia kwedu, ima yaka vhada kwa vhajha vhasaitii injili ya Mlungu?
\v 18 Na kama "Akona haki adaokolewa kuidia magumu ima yaka vhada kwa mndu asadae haki na akona zambi?"
\p
\v 19 Kwa huvho vose vhateseka kufumana na mapenzi gha Mlungu vhakabidhi nafsi ravhwe kwa muumba mwaminifu ili hali vhakibonya ghaboie.
\c 5
\cl Sura 5
\p
\v 1 Nawalomba wagosi weko andukumweri kwenyu, nyi niko mgosi mbenyu na shahindi wa mawiwi ga Kristo, na ambae vile vile ni mshirika katika utukufu utakao dhihirika.
\v 2 Kwa huwo na wawanga ngolo inyo wagosi, lindenyi ikundi ja Mlungu jiko miokonyi mwenyu. Jingiwenyi sio kwa sababu mdapaswa lakini kwa sababu mdakunda huwo, kundoka na Mlungu. Jingu wenyi sio kwa kukunda pesa ra waya, lakini kwa kukunda.
\v 3 Msabonye waziri igu ya wandu weko ndonyi ya kulindiwa kwenyu, lakini ike mfano katika ikundi.
\v 4 Aja mlisha mbaha atakapodhihireishwa, mwiwokeraga taji ya utukufu gusalagarie uthama ni gwake.
\p
\v 5 Huwo huwo, nyi mrika watini, nyenyekeeni kwa wabaha wenyu. Inyo wose, rwenyi unyenyekevu na kubonyiana inyo kwa inyo, kwani Mlungu wa walegaga wekona kirea, lakini wawanekaga neema wanyenyekevu.
\p
\v 6 Kwa huwo nyenyekenyi ndonyi ya mkonu gwa Mlungu guko hodari ili kwamba wawusire kwa matuku gake.
\v 7 Mwikienyi fadhaa renyu igu yake, kwa sababu adamijali.
\p
\v 8 Kenyi na viugo, kenyi waangalifu. Uja mlagelage wenyu ibilisi, kama shimba akindunduma akinyatia, akilola mndu wa kumrarua.
\v 9 Msimame kinyume chake. Mke na ndigi katika imani yenyu. Mkimanya kwamba mbari renyu weko isanganyeni wadadia mawiwi kama ago.
\v 10 Baada ya mawiwi kwa ituku kitambo, Mlungu wa neema yose, awawangie katika utukufu gwa milele ndenyi ya Kristo, atawakaririsha, atawaimarisha na kuwa kuumba ndigi.
\v 11 Kala na kala ike kwake milele na milele. Amina.
\p
\v 12 Namthamini silwalo kama mbari mwaminifu, na nimewaandikia inyo kwa kivui kuidia kwake nidawakunda ngolo na nidashuhudia kwamba nilichokiandikia ni neema ya loli ya Mlungu, simamenyi ndenyi yake
\p
\v 13 Waamini weko. Babeli wasagulwe pamoja inyo, wadamlamsa na Marko mwanapwa, adamililamsa.
\v 14 Lamsenyi kila umweri kwa busu ja lukundu. Na amani ike kwenyu mkondenyi ya Kristio.