dav_reg/54-2TH.usfm

78 lines
5.8 KiB
Plaintext

\id 2TH
\ide UTF-8
\h 2 Wathesalonike
\toc1 2 Wathesalonike
\toc2 2 Wathesalonike
\toc3 2th
\mt 2 Wathesalonike
\c 1
\cl Sura 1
\p
\v 1 Paulo, Silwano, na Timotheo, kwa ikanisa ja wathesalonike kwa Mlungu Aba wedu na Mzuri Jesu Kristo.
\v 2 Neema ndaike kwenyu na amani ifumagha kwa Mlungu Aba na kwa Mzuri Jesu Kristo.
\p
\v 3 Yadikundi isi kutogola Mlungu maruva ghose kwa ajili yedu. Maana huvu niko kweni kwa kua imani yedu idazoghua nicha, na lukundo kwedu kwa kila mundu ichurikane nicha.
\v 4 Huwo isi wose daria kwa kuboiwa ighu yenyu kwa makanisa gha Mlungu. Daaria malagho gha kuvesera kwenyu na imani niko nayo kwa kugaya wose, daria kwa malagho gha kugaya ghamisitahi.
\p
\v 5 Ihi iyo ishara ya hukumu ya haki ya Mlungu matokeo gha aga ni kughora iyo mwataliwe kuwa mwaboie kungia Ufalme gwa Mlungu ambao kwa ajili yake mdateswa.
\v 6 Kwa andu ni haki kwa Mlungu kuwashana mateso waja wawatesao inyo.
\v 7 Nawaneka raha inyo mgaishiwagha anduamweri na isi abonya huvu maruva gha kufunukulwa kwake Mzuri Jesu Kufuma Mbingunyi andu amweri na mdaika wa ndighi rake.
\v 8 Kwa mwali wa modo dimawashana kiasi awo wasamuichi Mlungu na awo watogolagha injili ya wedu Jesu.
\v 9 Wagaishiwagha kwa kunonigwa milele wakika watengwa na na uwepo wa Mzuri na utukufu na ndighi rake.
\v 10 Dima wabonya wakati akicha ili kuwusiriwa wandu wake na kusitahilishwa na wose waamini kwa kughora ushuhua wedu kwenyu wakundiwe kwenyu.
\p
\v 11 Kwa sababu ihi dawalomba inyo maruva ghose dalomba kughora Mlungu wedu awatesie kua mwaboie kuwangwa. Dalomba kughora anekwe kuhimirwa kila maghesho ya wema na kila chaghu cha imani kwa Mlungu.
\v 12 Dalomba malagho agha ili mpate kujigimbika irina ja Mzuri Jesu. Dalomba kulomba mpate kugimbikwa nae kwa sababu ya neema ya Mlungu na ya Mzuri Jesu Kristo.
\c 2
\cl Sura 2
\p
\v 1 Idana kuhusu kucha kwa Mzuri wedu Jesu Kristo na kuunganywa andu amweri ili dikenae dawalomba inyo wambari wedu.
\v 2 Kughora msagaishigwe wala kugaya kwa urahisi kwa ngolo au kwa ilagho au kwa barua iwonekagha mpaka kwa ya kufuma kwedu ikideda kughora iruva ja Mlungu tayari jacha.
\v 3 Mundu asawambie kwa namna yoyose kwa kuwa ndeichagha mpaka jija ianguko jifunuliwe kwanza na mundu wagosha abonyeriwe uja mwana wa kunena.
\v 4 Uyo nie aleghagha nae kukiwusira mweni akimlegha Mlungu na chochose kiasiwagha na matokeo ghake, kuka kwa nyumba ya Mlungu na kukibonyera yee kuwa kama Mlungu.
\v 5 Je, ndemkumbukagha nirikogho na inyo nawaghorie ju ya malagho agha?
\p
\v 6 Idana namanya jija jimgiriagha ili kwamba adime kufukulwa kwa wakati uboie ukafika.
\v 7 Kwa kua siri ya uja mundu mweni kuasi idabonya kazi mpaka ijiaha, ila tu kuko amzuiagha idana mpaka kifunyiwe chenyi.
\v 8 Iko uja waasi afunuliwe Mzuri Jesu ambwaghe kwa mkruka wa mumo wake. Mzuri abonyagha kughora sichochose kwa ufunuo wa kucha kwake.
\p
\v 9 Kucha kwa ija waasi dimawaka kwa sababu ya chaghu cha shetani kwa ndighi rose ishara na maajabu ghatee.
\v 10 Na tee rose nikona udhalimu, malagho agha dimaghaka kwa waja wa laghagha, kwa kua ndewawokerie lukundo wa loli kwa ajili ya kuokolewa kwao.
\v 11 Kwa sababu iyo Mlungu adawadumia chaghu cha tee.
\v 12 Matokeo ghake ni kwamba wose wahukumiwagha waja ambagho ndawaamini loli bali awo vakifurahia kwa udhalimu.
\p
\v 13 Lakini wadikundi dimshukuru Mlungu kila wakati kwa ajili yenyu wambari mkundiwe na Mzuri kwa kuwa Mzuri wawesaghua inyo kama malimbuko gha wokovu kwa kuogheshwa na ngolo na imani kwa ija loli.
\v 14 Haki iyo wawarangienyi inyo, kwa kuidia injili mdime kuvokera utukufu wa Mzuri wedu Jesu Kristo.
\p
\v 15 Kwa huvo wambari, kenyi imara manyeni uja utamaduni ufundishiwe kwa idedo au kwa barua yedu.
\p
\v 16 Idana Mzuri wedu Jesu Kristo mweni na Mlungu Aba wedu adikundie na kudineka faraja ya milele na ujasiri ghuboie kwa ajili ya maisha gha chaa kuelia neema.
\v 17 Awafariji na kuibonya imara ngolo redu kwa kila idedo ja kazi iboie.
\c 3
\cl Sura 3
\p
\v 1 Idana wambari, diombeenyi ili idedo ja Mzuri jidime kugota na kugimbikwa, kama uko pia kwenyu.
\v 2 Lombenyi kughora didime kuokolewa kufuma ghazamie na wandu wazamie kwakuwa si wose weko na imani.
\p
\v 3 Lakini Mzuri ni mwaminifu ambaye dimawagimbikwa inyo na kuwalindia kufuma kwa ija azamie.
\v 4 Dekonandighi kwa Mzuri kwa ajili nyenyu, kwamba ndabonya na mdaendelea kubonya malagho ambao dawalagiza.
\v 5 Mzuri adima kulongoza ngolo renyu kwa lukundo na kwa kurumaghia kwa Kristo.
\p
\v 6 Idana dauakingiza, wambari, kwa irina ja Mzuri Jesu Kristo, kughora mwepuke kila mbari ambaye wakagha maisha gha chevu na sio gha fumagha na desituri ambaro mwokerie kufuma kwedu.
\v 7 Kwa kuwa inyo weni mwaichi ni sawa kwenyu kugia isi ndadike miongonyi kwenyu kama waja ambagho ndawakogho na akili.
\v 8 Na ndadije vindo vya mundu wowosi bila kushania badala yake dabonyie chaghu kio na dime kwa chughu chikurie na kwa wasi, ili disake kuwa mizigo kwa wowose kwa inyo.
\v 9 Dabonyie huru si kutughora dadidae mamlaka. Badala yake, dabonyie huvu ilidike mfano kwenyu ili kughora mdime kuchiga isi.
\v 10 Wakati derikogho andu amweri na inyo ndawalagiza, kama umeri wenyu ndakundi kubonya chaghu na asaje."
\v 11 Kwa andu asikira kughora baadhi waandelea kwa chevu ghadi yenyu, ndawabonyaa chaghu lakini baadayake ni wandu waseko na vutaratibu.
\p
\v 12 Idana awo nawo dalagiza na kuwasa kwa Mzuri yesu Kristo kughora ni lazima wabonye chaghu kwa kunyama na kuja vindo chawhe weni.
\p
\v 13 Ela inyo, wambari, msawe ngolo kwa kubonya gheko sawa.
\p
\v 14 Kama mndu wowose ndakundi kutii idedo jedu kwa waraka ughu, mke makini nae na msake na mashaka na ushirika andu amweri naye ili kughora adime kuona waya.
\v 15 Msambusi kama azamie, ela mghorienyi kama mbari.
\p
\v 16 Mzuri wa Amani mweni awaneke amani wakati wowose kwa chia rose Mzuri ake na inyo wose.
\v 17 Ihi ni salamu yedu, Paulo, kwa mkonu wapwa mweni, ambagho ni salama kwa kila waraka, uvuniko niandikagha.
\v 18 Neema ya Mzuri wedu Jesu Kristo idime kuka na inyo wose.