dav_reg/52-COL.usfm

137 lines
12 KiB
Plaintext

\id COL
\ide UTF-8
\h Wakolozai
\toc1 Wakolozai
\toc2 Wakolozai
\toc3 col
\mt Wakolozai
\c 1
\cl Sura 1
\p
\v 1 Paulo, mlodi wa Kristo Jesu kira mapenzi gha Mlungu na Timotheo mpari wedu.
\v 2 Kwa waumini na mbari waaminifu katika Kristo weko Kolozai. Neema ike kwenyu na amani kufuma kwa Mlungu Aba wedu.
\p
\v 3 Tufunya shukrani kwa Mlungu, Aba wa Mzuri wedu Jesu Kristo, na dawatesia mara kwa mara.
\v 4 Dasikira imani yenyu katika Jesu Kristo na lukundo mkonagho kwawaja wose watengiwe kwa ajili ya Mlungu.
\v 5 Mkona lukundo ulu kwa sababu ya taraja la uhakika lililohifadhiwa Mbingunyi kwa ajili yedu. Mwasikira kuhusu taraja hivyo ya uhakika kabla katika ilagho cha loli, injili,
\v 6 Ambayo yachee kwenyu. Injili ihi idava itunda na idaenea ulimwengunyi kose. Yaka ikibonya hurundenyi yenu pia tangu huma mko mwasikira na kukifundisha kuhusu neema ya Mlungu katika loli.
\v 7 Ihi niyo injili wakifundishie kufuma kwa pafra, mkundwa wedu mtumishi wedu ambaye ni mtumishi mwaminifu wa Kristo kwa niaba yedu.
\v 8 Epafra waghubonyie ghumanyikane kwedu lukundo wedno katika ngolo.
\p
\v 9 Kwa sababu ya lukundo ulu, tamgu makati disikire huwu dadisire kuwatesia. Dakogho dikilomba kwamba imamwachura na maarifa gha mapenzi ghake katika nhekima yose na ufahamu gharikogho.
\v 10 Darikogho dikilomba kwamba mdasela kwa usitamilivu gha Mzuri katika chia riboie. Darikogho dikilomba kwamba mvagha itunda katika kila itendo jiboie na kwamba imawaka katika maarifa gha Mlungu.
\v 11 Dalomba mdime kukumbwa, dighi katika kila uwezo kulingana na ndighi ra utukufu wake katika uvumilivu na ustahimilivu ghose.
\v 12 Dalomba kwa furaha, mdafunya shukrani kwa Aba, wawabonye inyo mdime kuka na gase katika kupata laghwa waumini katika mwangaza.
\p
\v 13 Wadikombolie kufuma katika utawala ghwa kira na kudifananisha katika ufalme gwa mwana wake mkundwa.
\v 14 Katika mwanake dikona ukombozi, msamagha gwa dhambi.
\v 15 Mwana ni mfano ga Mlungu asawachagha ni mvalwa wa kiambiri wa uumbaji ghose.
\v 16 Kwa wuja kwa ye ilambo nyose vaumbiwavya viko mbingunyi na viko isaghenyi, vilambo viwonekagha na visawonekagha ikaka ni ya enzi angu mamlaka au utawala wakona ndighi vilambo vose vyaumbiwe ni ye na kwa ajili yake.
\v 17 Ye weko kabla ya vilambo vose na katika ye vilambo vose vidawandana andu amweri.
\v 18 Naye niye, chongo na muvi yaani kanisa ye niye kiambiri na mvalwa wa kiambiri kufuma miongonyi mwa wafu, huwo akona nafsi ya kiambiri miongonyi mwa vilambo vose.
\v 19 Kwa kuwa Mlungu waboiwe kusamba utukufu gwake ghose ghuishi ndenyi yake.
\v 20 Na kupatanisha vilambo vyose kwake kwa njia ya mwanake Mlungu wabonyie amani kuidia bagha msalaba wake. Mlungu wapatanishie vilambo vose kwake mweni. Ikiwa ni vilambo va isanga au vilambo va Mbingunyi.
\p
\v 21 Nanyi pia kwaghumweri mwarikogho warenyi kwa Mlungu na mwakogho maadui waake katika akili na matendo ghazamiye.
\v 22 Ela ingiaha wawachosa inyo kwa muvi gwake kuidia kifo. Wabonye huwo ili kuwareda inyo watakatifu, waseko na lawama na bila dosari imbiri yake.
\v 23 Kama mkaendelea katika imani mwaimarisha gwa na kuwa thabiti kuseko kuichi gwa kula kufuma kwenye taraja la ujasiri la injili mwaisikire. Ihi niyo injili itangaziwe kwa kila mundu aumbiwe ndonyi ya mbingu. Ihi niyo injili ambayo kwayo nyi, Paulo, niko Mtumishi.
\p
\v 24 Iji aha naboiwa ni mateso ghapwa kwa ajili yenyu. Nnyi natimiza katika muvi ghapwa chipungua kwa mateso gha Kristo kwa ajili yenyu. Nanyi watimiliza katika muvi ghapwa chipunguagha kwa mateso gha Kristo kwa ajili muvi gwake, ambagho ni kanisa.
\v 25 Nyi watumishi wa kanisa iji, sawasawa na wajibu mnekiwe kufuma kwa Mlungu kwa ajili yenyu, kuchichura ilagho cha Mungu.
\v 26 Ihi ni loli ya siri irikogho yavisiwa kwa makati miaka mingi na kwa vizazi. Ela iji aha yafunuliwa kwa wose waaminio katika ye.
\v 27 Ni kwa waja ambawo Mlungu wakundie kufuma kuko utajiri gwa utukufu gwa siri ya loli ihi miongonyi mwa mataifa. Ni raghora Kristo weko ndenyi yedu, ujasiri gwa utukufu ghuchaa.
\v 28 Uyu ni ye dimtangazagha. Damkasha kila mundu, na kumfundisha kila mundu kw heshima rose, ili kkwamba dimrede kila mundu mtakatifu katika Kristo.
\v 29 Kwa ajili ibhi, nyi ndajibidiisha na kukitahidi kulingana na ndighi yake ibonyagha chaghu ndenyi yapwa katika uweza.
\c 2
\cl Sura 2
\p
\v 1 Kwa wuja nkundi mmanye jinsi ambavyo naka na taabu nyingi kwa ajili yenyu, kwa wose wakoo laodikia na kwa wose ambawo ndawawonie wushu gwapwa katika muwi.
\v 2 Nabonya kazi ili kwamba yawhe idime kufarijiwa kwa kuredigwa andu amweri katika lukundo na katika utajiri wose gwa wingi gwa uhakika kamili wamaarifa, katika kukimanya kiviso cha loli cha Mlungu.
\v 3 Katika ye hazina rose ra hekima na maarifa ravisigwa.
\v 4 Nadeda huwu ili kwamba mundu wowose asache akawabonyia hila kwa hotuba yeni ushawishi.
\v 5 Na ingawa siko andu amweri na inyo katika muwi, ela neko na inyo katika ngolo. Ndaboiwa kuwona utaratibu wenyu guboie na ndighi ya imani yenyu katika Kristo.
\p
\v 6 Sa andu mwawokera Kristo Mzuri ghendenyi katika ye.
\v 7 Mwimarishwe katika ye, muaghwe katika ye, mwimarishwe katika imani sa andu tu mwafundishigwa, na kurugwa katika shukrani nyingi.
\p
\v 8 Guwenyi ya kwamba mundu wowose asawanase kwa falsafa na madedo maduhu gha kuembia kulingana na mawokero gha wadamu, kulingana na kanuni ra kidunia, na sio kulingana na Kristo.
\v 9 Kwa wuja katika ye ukamilifu wose gwa Mlungu ghadaka katika muwi.
\v 10 Na inyo mwachurigwa katika ye. Yeni chogho cha kila uweza na mamlaka.
\v 11 Katika ye pia mwachuligwa kwa tohara isabonywagha ni wadamu katika kuinjigwa muwi gwa nyama, ela ni katika tohara ya Kristo.
\v 12 Mwarikiwe andu amweri na ye katika ubatizo. Na kwa chia ya imani katika ye mwafufuliwa kwa uweza gwa Mlungu, wamfufuie kufuma kwa wafwie.
\v 13 Na mrikogho mwafwa katika makosa ghenyu na kutokuchulwa kwa miwi yenyu, wawabonyie hai andu amweri na ye na kudisamehe makosa ghedu ghose.
\v 14 Nafutie kumbukumbu ya masile iandikiwe, na taratibu rikoo kinyume na isi. Wainjie ghose na kuigongomea msalabenyi.
\v 15 Warinja ndighi na mamlaka. Waghawikie mwari na kughabonya kuka gonda ya ushindi kwa chia ya msalaaba gwake.
\p
\v 16 Kwa huwo, mundu wowose asamihukumu inyo katika kuja angu katika kunywa, angu kuhusu irawa ja sikukuu angu mweri mwishi, angu maruwa gha sabato.
\v 17 Ivi ni viju va malagho ghachagha, ela kiini ni Kristo.
\v 18 Mundu awaye yose asasokwe tuzo yake kwa kutamani unyenyekevu na kwa kuabudu malaika. Mundu wa jinsi iyo huingia katika malagho agha na kushawishiwa ni mawazo ghake gha kimuwi.
\v 19 Ye ndachiwadaa chongo. Ni kufuma katika chongo kwamba muwi gwose kuidia vilungo vake na maindi hulugwa na kuwadwa andu amweri, na huzoghua kwa uzoghuaji ufunywagha ni Mlungu.
\p
\v 20 Ikika mwafwie andu amweri na Kristo kwa tabia ra dunia, mbona mdaishi ngelo mdawajibika kwa dunia.
\v 21 Msawhade, wala kutoa, wala kuwhada"?
\v 22 Agha ghose ghaamriwa kwa ajili ya unonefu ghuchagha na matumizi, kufumana na maelekezo na mafundisho gha wadamu.
\v 23 Sheria iri rikona hekima ya dini riaghiwe kwa ubinafsi na unyenyekevu na mateso gha muwi. Ela ndariidae thamani dhidi ya tamaa ra muwi.
\c 3
\cl Sura 3
\p
\v 1 Ikika sena Mlungu wawafufua andu amweri na Kristo, ghalolenyi malagho gha ighu ambako Kristo adaka mkonu gwa kujo gha Mlungu.
\v 2 Teganyeni kuhusu malagho gha ighu, sio kuhusu malagho gha dunienyi.
\v 3 Kwa wuja mwafwa, na maisha ghenyu ghavisigwa andu amweri na Kristo katika Mlungu.
\v 4 Makati Kristo achawonekana, ambae ni maisha ghenyu, niko na inyo pia dimamwanekana na ye katika utukufu.
\p
\v 5 Kwa huwo ghabwaghenyi malagho ghakoo katika isanga yaani, zinaa, uchafu, shauku izamie, nia izamie, na tamaa, ambayo ni ibada ya isanamu.
\v 6 Ni kwa ajili ya malagho agha ghadhabu ya Mlungu idacha ighu ya wavalwa wasatii.
\v 7 Ni kwa ajili ya malagho agha inyo pia mwaghendie kwa yo mchaka kati yawhe.
\v 8 Ela idana ni lazima mghanyie malagho agha ghose. Yaani, ghadhabu, hasira, nia izamie, maanyiro, na madedo machafu ghafumagha momunyi kwenyu.
\v 9 Msambiane inyo kwa inyo, kwa wuja mwarua undu ghwenyu gwa kala na matendo ghake.
\v 10 Mwarwa undu mwishi, ambagho udabonywa upya katika maarifa kufumana mfwano wa uja amuumbie.
\v 11 Katika maarifa agha, ndakudae myunani na myahudi, kuchuligwa na kutokuchuligwa, msomi, asiye msomi, mtumwa, asiye mtumwa, ela badala yake Kristo ni malagho ghose katika ghose.
\p
\v 12 Ngelo wateule wa Mlungu, weli na wakundigwi, kirwikenyi undu wema, ukarimu, unyenyekevu, kuhoa na kurumaghia.
\v 13 Wusianenyi inyo kwa inyo. Wonianenyi mbazi kila mundu na mbawe. Ngelo mundu akona ilalamiko dhidi ya umwi, amsamehe kwa jinsi ija yeni ambayo Mzuri andu wawasamehe inyo.
\v 14 Zaidi ya malagho agha ghose, mke na lukundo, ambalo nio kigezo cha ukamilifu.
\p
\v 15 Sere ya Kristo na iwalongoze mioyoni kwenyu. Irikogho ni kwa ajili ya sere ihi kwamba mwawangiwe katika muwi umweri. Kenyi na shukrani.
\v 16 Na idedo ja Kristo jike ndenyi yenyu kwa ghutajiri. Kwa hekima yose, fundishanenyi na kushauriana inyo kwa inyo kwa zaburi, chombo, na chombo ra ngolonyi. Borenyi kwa shukrani mioyo yenyu kwa Mlungu.
\p
\v 17 Na chochose mbonyagha, katika madedo angu katika matendo, bonyeni ghose katika irina ja Mzuri Jesu. Mnekenyi shukrani Mlungu Aba kuidia ye.
\p
\v 18 Waka, wanyenyekeenyi womi wenyu, sa andu ipendezagha katika Mzuri.
\v 19 Na inyo womi, wakundenyi waka wenyu, na msake wabirie dhidi yawhe.
\p
\v 20 Wana, watiinyi wazazi wenyu katika malagho ghose, maana nio imboiwagha Mzuri.
\v 21 Waka Aba msawachokoze wana wenyu, ili kwamba wasache kata tamaa.
\p
\v 22 Watumwa, watiinyi wazuri wenyu katika muwi kwa malagho ghose, sio kwa huduma ya meso sawandu wa kufurahisha tu, bali kwa moyo gwa loli. mbonyenyi Mlungu.
\v 23 Chochose mbonyagha, bonyeni kufuma nafsinyi kwenyu sa kwa Mzuri na si sa kwa wadamu.
\v 24 Mdamanya ya kwamba dima mwawokera tuzo ya umilikaji kufuma kwa Mzuri. Ni Kristo Mzuri mumtumikiagha.
\v 25 Kwa sababu wowose abonyagha ghasadae hadi dimawawokera hukumu kwa matyendo ghasadae hachi waghanyie, na ndakudae upendeleo.
\c 4
\cl Sura 4
\p
\v 1 Wazuri, funyeni kwa watumwa malagho gha hachi na gha adili. Mdaichi pia kwamba mkanae mzuri mbingunyi.
\p
\v 2 Endeleenyi kuka thabiti katika malombi. Kenyi meso katika ijo kwa shukrani.
\v 3 Tasenyi andu amweri kwa ajili yedu pia, ilikwamba Mlungu arughue mjango kwa ajili ya idedo, kudeda kiviso cha iloli cha Kristo. Kwa sababu ya iji narugwa minyororo.
\v 4 Natasenyi kwamba nidime kujiwika mwari, sa andu inipasaa kudeda.
\p
\v 5 Ghenda kwa hekima kwa waja wakoo shighadi, na muukombole wakati.
\v 6 Madedo ghenyu na ghake na neema makati ghose, na ghakolee munyu majira ghose, ili kwamba mdime kumanya yawapasa kumjibu kila mundu.
\p
\v 7 Kwa malagho ghanihusuu nyi, tikiko dimawaghabonya ghamanyikane kwenyu. Ye ni mmbari mkundwa, mtumishi mwaminifu, na mtumwa mbedu katika mzuri.
\v 8 Ndamduma kwenyu kwa ajili ya iji, kwamba mdime kumanya malagho kuhusu isi na pia kwamba adime kuwakumba ngolo.
\v 9 Ndamduma andu amweri na Onesimo, mmbari wedu mkundwa mwaminifu, na umweri wenyu. Dima wamighoria kila kilambo chifumirie aha.
\p
\v 10 Aristarko, mfungwa mbedu, adawasalimu, pia na marko binamu yake na Barnaba muwokerie utratibu kufuma kwake, "ngelo akacha kwenyu, mwokorenyi,"
\v 11 Na pia Jesu awaghangwa Yusto. Awaweniekeri wa tohara ni wabonya kazi wabedu kwa ajili ya ufalme gwa Mlungu. Waka ni faraja kwapwa.
\v 12 Epafra adamlamsa. Ye wa umweri wenyu na mtumwa wa Kristo Jesu. Ye hubonya bidii katika malombi kwa ajili, ili kwamba mdime kukamsi kwa ukamilifu na kuhakikishwa kikamilifu katika mapenzi ghose gha Mlungu.
\v 13 Kwa wuja ndamshuhudia, kwamba adabonya kazi kwa bidii kwa ajili yenyu, kwa awowakoo laodekia, na kwa awo wakoo Hierapoli.
\v 14 Luka uja tabibu mkundwa, na Dema wadamlamsa.
\p
\v 15 Walamse wambari wapwa wakoo laodekia, na Nimfa, na nyumba ya Mlungu ija ikoo nyumbenyi kwake.
\v 16 Barua ihi ichaka yasomigwa miongonyi kwenyu, isomigwe pia kwa nyumba ya Mlungu ya walaodekia, na inyo pia hakikishenyi mdaisoma ija barua kufuma laodekia.
\v 17 Deda kwa Arkipo, "Guwa ija huduma ambayo waiwokera katika Mzuri, kwamba udapaswa kuitimiza.
\p
\v 18 Salamu ihi ni kwa mkonu gwa mweni- Paulo. Ikumbukenyi minyororo yapwa. Neema na ike na inyo.