dav_reg/50-EPH.usfm

211 lines
18 KiB
Plaintext

\id EPH
\ide UTF-8
\h Waefeso
\toc1 Waefeso
\toc2 Waefeso
\toc3 eph
\mt Waefeso
\c 1
\cl Sura 1
\p
\v 1 Paulo, mtume wa Kristo Jesu kwa lukundo lwa Mlungu, kwa waliotangwa kwa ajili ya Mlungu weko Efeso na ambawa ni nwaaminifu wa Kristo Jesu.
\v 2 Neema ike kwenyu na amani ifunagha kwa Mlungu Aba wedu na Mzuri Jesu Kristo.
\p
\v 3 Mlungu na Aba wa Mzuri wedu Jesu Kristo anekwe sifa. Ni ye adibariki kwa kila baraka ra kingolo, katika andu kwa mbingu ndenyi ya Kristo.
\v 4 Kabla ya kuumbigwa urumwengu Mlungu wadisaghuye isi ambawa daamini kwa Kristo waasaghue isi ili didime kuka watakatifu na disalaumikagha imbiri yake.
\v 5 Katika lukundo Mlungu wadisaghue kiambiri kwa kudivusa kama wanake kwa chia ya Jesu Kristo wabonyie huwu kwa sababu wapendezigwe kuboya chiecha machitamani.
\v 6 Matokeo ghake ni kughora Mlungu adatukuzwa kwa neema ya Utukufu gwake ihi michowadipatia utu kwa chia ya mkundwa wake.
\p
\v 7 Kwa wuja katika mkundwa wake, dikona ukombozi kuidia bagha yake, kutesiwa dhambi. Dinonajo iji kwa wuja gwa utajiri wa neema yake.
\v 8 Wabopnyie neema ihi kukanyingi kwa ajili yedu katika hekima na kuelewa.
\v 9 Mlungu wabonyie imanyikane kwendu ili loli yakivisa ya mpango, kufumana na hamu ifunyiriwe ndeni ya Kristo.
\v 10 Wakati nyakati ratimia kwa utkufu wa mpango wake, Mlungu adavirika ndua mweri ila kilambo cha mbingunyi na cha isanga ndenyi ya Kristo.
\v 11 Katika Kristo darikogha daghaghulwa na kukusudiwa kabla ya wakati. Ihi yafumane na mpango wabanyagha vilambo voche kwa kusudi la mapenzi ghake.
\v 12 Mlungu wabonyie huwo ile kwamba dike didime kuwapo kwa sifa ya utukufu ghwake. Jarikogho wakiambiri kuka na ujasiri ndenyi ya Kristo.
\v 13 Yarikogho kwa chia ya Kristo kwamba mwashire ilagho ja loli ili kueleshiwa kwedu kwa chia ya Kristo, yarikoghokatika ye pia daamini na kukumbigwa mhuri ni ngolo mtakatifu aahidiwe.
\v 14 Ngolo niyodhamana ya kupata kwedu mpaka umiliki ghuichapatikana yakogha ni kwa sifa utukufu wake.
\p
\v 15 Kwa sababu ihi, tangu wakati ni desikira kuhusu imani yenyu ndenyi ya Mzuri Jesu na kuhusu lukundo wenyu kwa waja wose ambao watengwa kwa ajili myake.
\v 16 Sisighie kumtongola Mlungu kwa ajili yenyu na kuwataja katika kutaja kwapwa.
\v 17 Nataja kwamba Mlungu wa Mzuri wedu Jesu Kristo, Aba wa utukufu, anekwagha ngolo ya heshima, mafunuo gha ufahamu.
\v 18 Nidataja kwamba meso ghenyu gha ngolonyi ghakupwe nuru kwa inyo kumanya ni indonyi ujasiri ghwa kuwagwa kwenyu, nataja kwamba mmanye ujasiri wa utukufu wa mpali gwakwe miongoni kwa waja waliotengwa kwa ajili yake.
\v 19 Nataja kwamba imanye wubaha ghuzi igho ghwa ndighi yake ndeni yedu ambao daamini ugho wubaha ukifuma na kazi katika dighi rake.
\v 20 Ighi ni dighi ibonyie kazi deni ya Kristo wakati gha Mlungu alipo nifufua kufuma wafyie na kumkaribisha katika ukuu wake wa kujwo katika andu pa mbingu
\v 21 Wambikie Kristo ighu mbali na utawala, mamlaka ndighi enzi na kila irinajuwagha wamkarishe Jesu sio tu kwawakati ughu lakini kwa wakati ghuchaa pia
\v 22 Mlungu amevitiisha vilambo viondanyi ya maghu gha Kristo, wambauyie ye chongo ighu ya vilambo vose katika kanisa.
\v 23 Ni kanisa kughora nigho muvi wake ukamilifugwake ambaye hujaza vilambo vose katika chia rose.
\c 2
\cl Sura 2
\p
\v 1 Kama waja arikogho mwafa katika makosa na dhambi renyu.
\v 2 Yarikogho katika agha ni kughora kiambiri mwarendie kulingana na nyakati ra ulimwengu ughu. Mwirikogho mtighenda kwa kunugha mtawala wa mamlaka ya anga. Ihi niyo ngolo yake uja abonya kazi katika wana wa kuasi.
\v 3 Isi wose aho kiambiri darikogho miongonyi mwa awaasaminin darikogho kudighenda kwa namna ya tamaa mzamie ra miivi yedu. Darikogho dikibonya mapenzi gha muvi na ufahamu gwedu. Darikogho kwa asili wana wa ghadhabu kama wamwi.
\p
\v 4 Lakini Mlungu ni mwinyi wa rehema kwa sababu ya lukundo kwake lubaha wadikundie isi.
\v 5 Wakati dirikogho wafwie katika makosa ghedu wadiredie andu amweri katika maisha mapya ndeni ya Kristo. Ni kwa neema kughora mwaokolewe.
\v 6 Mlungu wadifufue adumweri kudibonya andu mwweri katika andu kwa mbingu ndenyi ya Kristo Jesu.
\v 7 Wabonyi huwu ili nyakati richagha kudibonyara utajiri mbaha gwa neema yake. Wadibonyera isi hili kwa chia ya wema gwake ya Kristo Jesu.
\p
\v 8 Kwa neema mwaokolewa kwa chia ya imani. Na ihi ndaifumie kwenyu. Ni zawdi ya Mlungu
\v 9 Daifumagha na matendo matokeo ghake aseko umweri wa kukisifu.
\v 10 Kwa sababu isi da kazi ya Mlungu daumbigwa katika Kristo Jesu kubonya matendo gha boie. Ni matendo agha ambagho Mlungu wakapangie luma lwakala ra kwa ajili yedu, ili disele katika agho.
\p
\v 11 Kwa hiyo kumbukenyi kughora aho kala mwirikogho watu wa mataifa kwajinsi ya muvi. Mda waghwa "msekwa na tohara" kwa chija chiwaghugha tohara muvi ibonyiwagha tohara muvi ibonyiwagha kwa mikonu ya wandu.
\v 12 Kwa wakati ugho mwarikogha mwatengwa na Kristo, mwakogho wageni kwa watu va israeli, mwarikogho wageni kwa agano cha ahadi. Ndamkogho na loli gwa wakati ghuchaa mwarikogho bila Mlungu katika ulimwengu.
\v 13 Lakini ijiha katika Kristo Jesu inyo ambawa aha kiambiri mwarikogho mbali na Mlungu mwaredighwa avui na Mlungu kwa bagha ya Kristo.
\p
\v 14 Kwa maana ye niye amani yedu wabonyie wawili kuka umweli kwa muvi gwake waghunoie ukuta gwa utengano ambagho warikogho watenganisha ugho wadui.
\v 15 Kwamba wakomeshie sheria ya amri na kanuni ili kwamba aumbe mdu umweri mpya andenyi yake akabonya amani.
\v 16 Wabonyie huwu ili kuwapatisha makundi gha watu muvi kuka mdu umweri kwa Mlungu kuidia msalaba kwa najili ya msalaba akaghudidimiza waadui.
\v 17 Jesu wachee na watangaza amani kwenyu inyo mrikogho kuka na amani kwa waja varikogho avui
\v 18 Kwa maana kwa chia ya Jesu isi wose wawidikona nafsi kwa uja ngolo umweri kungia kwa Aba.
\p
\v 19 Hivyo basi watu wa mataifa si wasafiri na wagenyi sena. Bali ni mwenyezi andu amweri na waja watengwa kwa ajili ya Mlungu na mazuri katika nyumba ya Mlungu.
\v 20 Mwaghiwe ighu ya msingi wa mitume ria manabii Kristo Jesu mweni warikogho igwe ibaha cha mbai.
\v 21 Katika ye ujengo jose chaungamanishwa andu amweri na kukua kama hekalu ndeni ya Mzuri.
\v 22 Ni ndenyi yake niyo nanyi mdaaghwa andu amweri kama andu kwa kuishi kwa Mlungu katika ngolo.
\c 3
\cl Sura 3
\p
\v 1 Kwa sababu ihi nyi Paulo, ni mfungwa wa Jesu Kristo kwa ajili ya mataifa.
\v 2 Na amini kughora mwasikira juu ya kazi ya mema ya Mlungu aninekie kwa ajili yenyu.
\v 3 Nidamandia kufumana na jinsi ufunuo ghuko kufunuliwa kwapwa. Ughu ni loli ikifisaye ambagho nighuandikie kwa kifupi kwenye bama imwi.
\v 4 Ukasoma kuhusu agha, udima kumanya busara yapwa katika loli hii ikiusie kuhusu Kristo.
\v 5 Kwa makalo ghamwi loli ihi ndaibonyiwe imanyike kwa mana wa watu. Ila kwa igiaha gwarikiwe wazi kwa ngolo kwa mitume walio tengwa na manabii.
\v 6 Loli ihi yakivisie ni kughora watu wa mataifa ni mataifa ni washiriki wapenda na wazuri wapendu wa muvi. Ni washiriki andu amweri na ahadi ra Kristo Jesu kuidia injili.
\v 7 Na kwa ingi nabonyeka mtumishi kwa zawadi ya neema ya Mlungu ifunyiwe kwedu kuidia utendaji gwa ndighi rake.
\p
\v 8 Mlungu wafunyie zawadi ihi kwapwa, japo kwa nyi ni mundu mtini wa wose katika waja walio tengwa kwa ajili ya Mlungu. zawadi ihi ni kughora inatupasa kuwatangazia mataifa injili ikom na utajiri uzio chunguzika gwa Kristo.
\v 9 Inanipasa kuwatangazia wadu wose ighu ya undoi ni mpango gwa Mlungu gwa ziki ughu ni mpango ambagho wakivisa kwa matuku mengi ghaide, na Mlungu ambaye waviumbie vilambo vyose.
\v 10 Ihi yariko kwamba, kuidia kanisa wazuri na mamlaka katika gosi na mbingu wapate kumanya gosi nyingi ra asili ya hekima ya Mlungu.
\v 11 Agha ghafuniwekuidia mpango gwa hala na kala ambagho wakavushilisue ndenyiya Kristo Jesu Mzuri wedu.
\v 12 Kwa wuja katika Kristo diko na ujasiri na kudima kungia kwa ujasiri kwa sababu ya imani yedu kwake.
\v 13 Kwa huwo nawalomba msakate tamaa kwa sababu ya mateso ghapwa kwa ajili yenyu. Agha ni utukufu gwedu.
\p
\v 14 Kwa sababu ihi nakaba magoti kwa Aba.
\v 15 Ambaye kwaye kila lukolo mbinguni na ighu ya ianga yamagha ya irina.
\v 16 Nidalomba apate kuwaneemesha kufumana na utukufu gwake. Awabonye imara kwa ndighi kuidia ngolo wake, ambaye yu ndenyi yedu.
\v 17 Na tasa kwa Kristo ake ndenyi ya ngolo renyu kuidia imani.
\v 18 Ni datasa kwamba mke na shina na msingi gwa lukundo lwake, mke katika lukundo lwake ili mdime kuna uya andu amweri na wate waaminio jinsi ya upana na walacha na kimo na kina cha lukundo lwaKristo.
\v 19 Nidatasa kwamba mmanye wabaha gwa lukundo lwa Kristo ambagho ghudazidi kumanya mboye agha ili mchurighwe na ukamilifu ghose gwa Mlungu.
\p
\v 20 Na ighi aha kwake ye adimanyagha kubanya kila ilagho, zaidi ya ghose dighatobagha au dighawezagha kuidia ndighi yake ibonya kazi ndeni yedu.
\v 21 Kwake ye kuke utukufu ndeni ya kanisa na Kristo Jesu kwa mbari rose kala na kala. Amina.
\c 4
\cl Sura 4
\p
\v 1 Kwa kuwa kama mfungwa kwa ajili ya Mzuri, nikawsa msela sawasawa na kuwagwa ambako Mlungu wawangie.
\v 2 Muishi kwa unyenyekevu mbaka na upole na kuririmira. Mkidwayona katika lukundo.
\v 3 Bonyeni bidii kughutunza umoja gwa Ngolo katika kifungo cha imani.
\v 4 Kuko muvi ghumweri na Ngolo imweri, kama ambagho pia mwirikogho mwangwa katika loli watarajia mweri la kumegwa kwedu.
\v 5 Na kuko Mzuri umweri na imani mweri, mbatizo ghumweri.
\v 6 Na Mlungu umweri na Aba wa wose ye akaighu ya ghose, na katika ghose na andeni ya ghose.
\p
\v 7 Kwa kila umweri wedu wamekiwe kipawa kulingana na kipimo cha kipawa cha Kristo.
\v 8 Ni kama maandiko ghadedagha. "Wapaiye ighu sana, wakurishiye mateka utumwa. Akafunya vipawa kwa watu."
\p
\v 9 Ni indoi maana ya "wapaie" isipokuwa kughora waseie pia gosi ra isi ra isanga?
\v 10 Ye ambaye waseiye ni mundu ujamweni ambae pia wapaie kula ighu ya mbingu rose. Wabinyie huvu ili uwepo gwake katika vilambo vyose.
\v 11 Kristo wafunyie vipawa kama hivi mitume, walodi, wainjilisti, walisha na walimu.
\v 12 Wabonyie huwu kuwawezesha waumini kwa ajili yakazi ya huduma kwa ajili ya kuagha muvi gwa Kristo.
\v 13 Wabonyie huwa hadi isi wose difikie ghumweri gwa imani na maarifa gha mwana wa Mlungu. Adabonya huwu hadi didime kukomaa kama waja wafikia kimo kamili cha Kristo.
\v 14 Ihi ni wuja kughora chisake sena kama wawake, disasumburigwe huku na huko, ili kughora disavusigwe na kila ra watu katika kukala na tee riliopotoha.
\v 15 Badala yake dilongoze loli katika lukundo na kuzoghua zaidi katika chia rose ndeni yake ambaye niye chongo, Kristo.
\v 16 Kristo waunganishie kwa mndu amweri, muwi ghose gwa waumini. Gwa wadana andu amweri na kila kiungo ili kughora muvi ghose ghuke na kukiagha ghweni katika lukundo.
\p
\v 17 Kwa huwo nadeda huwu na nawasihi katika Mzuri, msasele sena kama watu wa mataifa waselagha katika ubatili gwa ikili rawe.
\v 18 Wakumbigwa kira katika mawazo ghawe wavingwa kufuma katika banana ya Mlungu kwa ujinga ghuko ndenyi yawe kwa sababu kukua ngolo rawe.
\v 19 Ndaawa kiwanagha waya, wakikabidhi weni kwa ufisadi katika matendo machafu katika kila aina ya choyo.
\p
\v 20 Lakini huwu siko mkifundishie kuhusu Kristo.
\v 21 Nadhani kughora mwasikire kuhusu ye nadhani kughora mwakogho mkifundishigwa katika ye kama da loli iko ndenyi ya Jesu.
\v 22 Lazima mvue malagho ghose yanayoendana na mwenendo gwenu gwa kala, wundo eva kala. Ni wando gwa kala huvundaa kwa sababu ya tamaa ra udanganyifu.
\v 23 Runenyi wundo gweju gwa kala ili kwamba mbonyigwe wapya katika ngolo re akili renyu.
\v 24 Bonyeni huwu ili mdime kurwa wando mbishi rughenda na Mlungu waumbiwa katika haki na utakatifu wa loli.
\p
\v 25 Kwa huwo, kuka kula tee. "Dedenyi loli kila umweri na jirani wake," kwa tu washirika kwakla umweri kwa mbawe.
\v 26 Mke na hasira, lakini msabonye dhambi." Iruwa jisaswe mkika katika hasira renyu.
\v 27 Msaneke ibilisi nafasi.
\v 28 Wowose aiwagha lazima asaiwe sena. Badala yake ni lazima abonye kazi. Abonye kazi ikona manufaa kwa mikonu yake, ili kwamba adime kumhudumia mundu akona uhitaji.
\v 29 Kauli izamie isafuma momunye kwenyu. Badala yake adedo lazime ghafume katika monunyu gha mboie kwa mahitaji kuwaneka faida wajawasikiragha.
\v 30 Na msamhuzunishe Ngolo mtakatifu wa Mlungu. Nikwa ye kughora mwavikwa mhuri kwa ajili ya siku ya ukombozi.
\v 31 Lazima mbike kula uchungu ghose, ghadhabu, hasira, ugomvi na matusi andu amweri na kila aina ya wovu, kenyi waboiye inyo kwa inyo.
\v 32 Mke na huruma msameheane inyo kwa inyo kama vuja Mlungu katika Kristo awasamehe inyo.
\c 5
\cl Sura 5
\p
\v 1 Kwa huwo mke watiu wa kumumugha Mlungu, kama wana wakundghwi.
\v 2 Msele katika lukundo, vuja kama Kristo adikundie isi akakifunya mweni kwa ajili yedu. Ye warikogho sadaka na dhabihu, kuka harufu imboiye ya kumboiya Mlungu.
\v 3 Zinaa angu vuchafu ghoghose na tamaa rizamie, lazima visatajiwe imbiri yenye kama ikundukane kwa waaminio.
\v 4 Wala machukizo ghosatajwe mariyo gha kipumbavu, angu mizaha ya uzalilishaji, ambayo siyo sawa, badala yake ike na shukrani.
\v 5 Mdadima kuka na kumanya kughora kuko zinaa, uchafu, wala atamaniye huyo ni mwabudisanamu ndadae kupala wose wose katika ufalme gwa Kristo na Mlungu.
\v 6 Mndu wowose asakuambie kwa madendo maduhu, kwa sababu ya malagho igha gha hasira ya Mlungu dacha ighu ya mwana wasatii.
\p
\v 7 Huwu usashiriki andu amweri nawe.
\v 8 Kwa wuja inyokuambiri mwarikogho kirenyi, lakini igiaha mweko nuru katika Mzuri. Huwu selenyi kama wahave wa nuru.
\v 9 Kwa wuja matunda gha nuru wadajumlisha kumboa kose, kaki na loli.
\v 10 Lola chija chiboie chimfurahishagha kwa Mzuri.
\v 11 Ghusake ushirika katika kazi ra kira iseko na matunda, badala yake rike wazi.
\v 12 Kwa sababu malagho ghabonyighwa na wasiri ni mwaya sana hata kughaelezea.
\v 13 Malagho ghose ghavikwa wazi na nuru ghaka wazi.
\v 14 Kwa vuja kila kindo chaisikwa wazi cheko nuruni. Hivyo kudeda hivi, "Vukia we watungura na vukia kufuma mwafie na Kristo adaela ingu yako."
\p
\v 15 Huwu kenyi makini jinsi mselagha, sio kama wadu waseko wakalie bali kama wakalie.
\v 16 Ghukombolenyi wakati kwa kuwa matuku ni ghauovu.
\v 17 Msake wajinga badala yake manyeni mundoi mapenzi gha Mzuri.
\p
\v 18 Msalewe kwa chofi, idaghenja kwenye uharibifu, badala yake mchuirwe na Ngolo Mtakatifu.
\v 19 Arienyi na kila imweri wenyu kwa Zaburi na sifa na chombo ra ngolonyi. Borenyi na mtukuzeni kwa Ngolo kwa Mzuri.
\v 20 Daima funya togolo kwa malagho ghose katika irina la Kristo Jesu Mzuri wedu kwa Mlungu Aba.
\v 21 Kifunyeni inyo weni kila umweri kwa umwi kwa heshima ya Kristo.
\p
\v 22 Waka, jivukenyi kwa vomi kenyu, kama kwa Mzuri.
\v 23 Kwa sababu mdumuni ni chongo cha mkate kama Kristo eko chigo cha kanisa. Ni mwokozi wa muvi.
\v 24 Lakini kama kanisa chiko ndonyi ya Kristo wovuwo waka lazima wabonye huwo kwa wami wawe katika ilagho.
\p
\v 25 Wani wakundenyi waka wenyu kama waja Kristo ajikundiye kanisa na kakifunya mweni kwa ajili yake.
\v 26 Wabonyie huwo ili jike takatifu wajitakasie kwa kuliosha na machi katika ilagho.
\v 27 Wabonyie hivuili kwamba adime kukifunyiamweni kanisa tukufu, kuseko na ndoa wala waa au kilambo chifwana na agha, badala yake ni takatifu jiseko na ikosa.
\v 28 Kwa njia ijayeni, mami wakudighwi kuwakunda wake wawe kama muvi yawe. Ujaakundagha mkake akikundi mweni.
\v 29 Ndakudae hala umweri azamwagha ni muvi wake. Badala yake aghutubisha na kughukunda, kama Kristo pia agikundie kanisa.
\v 30 Kwa wuja isi ni washirika wa mwi gwake.
\v 31 Kwa sabau ihi mchumuni inawahusigha nde na maye na ataungana na mkake na owo muvi inavaka muvi ghumweri.
\p
\v 32 Ughu wakogho luvizo. Lakini nadeda kuhusu Kristo na Kanisa.
\v 33 Walakini kila umweri wenyu lazima amkunde amkake kama mweni na mka kazima amheshimu mumi.
\c 6
\cl Sura 6
\p
\v 1 Wana watuni wazazi wenyu katika Mzuri, kwa wuja ni haki.
\v 2 Mheshimu ndeo na mayo" (Kwa waja ihi ni amri ya kiambiri ikona ahadi).
\p
\v 3 Ili ike heri kwenyu na mdime kuishi maisha malacha ighu ya isanga.
\p
\v 4 Na inyo makaaba, msawakwaze mwaha na kuwa sababaishia hasira, badala yake, walelenyi katika maonyo na maalangizo gha Mzuri.
\p
\v 5 Inyo watumwa, iweni watiifu kwa Wazuri wenyu wa aha isanyeni kwa heshima mbaha na kukakama kwa hofu ifumagha ngoloni kwenyu. Mke watiifu kwowe haina vuja mnavyo mtii Kristo.
\v 6 Utii ghenyu ghusahe tu aja Wazuri renu wawanguagha ili kuwapendeza. Badala yake mke watiifu kama watumwa wa Kristo. Bonyeni mapenzi gha Mlungu kufuma ngolonyi kwenyu,
\v 7 Watumikienyi kwa ngolo renyu rose kwa waja mdamtumikia Mzuri na wala si wadamu.
\v 8 Mdapaswa kumanya kwamba katika kila tendo iboiye mundu ajibonya inawawokera zawadi kufuma kwa Mzuri, ikiwa mtumwa au mundu huru.
\p
\v 9 Na inyo wazuri bonyeni huwo huwo kwa watumwa wenyu. Msawatishe mkimanya kwamba aka Mzuri wa wose wuja aka mbingunyi mkimanya kuwa ndakudae upendeleo ndenyi yake.
\p
\v 10 Hatimaye kenyi na ndighi katika Mzuri na katika uwezo gwa ndighi rake.
\v 11 Rwenyi silaha rose ra Mlungu ili kwamba mpate kukakimusi kinyume na hila ra shetani.
\v 12 Kwa uja kondo yenyu si ya bagha na unyama bali ni dhidi ya falme na mamlaka ra ngolona watawala wa ulimwengu gwa uovu na kira, dhidi ya pepo katika sehemu ra Mbingu.
\v 13 Kwa hiyo rwenyi silaha rose ra Mlungu, ili mpate kuhakimusi imara dhidi ya uovu katika kipindi hiki kiovu. Badala yake kumeria kila kilambo mkakimusi imara.
\p
\v 14 Hatimaye kenyi kimusi imara. Bonyeni huwa baada ya kuka mwafunya mkanda katika loli na haki taghenyi.
\v 15 Bonyeni huwo mkika mwarawa itayari maghunyi kwenyu gwa kutangaza injili ya amani.
\v 16 Katika kila hali mkivusa ngao ya amani, ambayo idakuwezesha kubwagha mishale ya uja mwovu.
\v 17 Rwenyi kofia ya wokovu na upanga gwa ngolo, ambayo ni ilagho cha Mlungu.
\v 18 Andu amweri na kutasa na dua. Tasenyi kwa ngolo kila wakati. Kwa mtazamo ughu kenyi waghalifu kila wakati kwa kurumaghia na kutasa kwa ajili waamini wose.
\v 19 Tasanyi kwa ajili yapwa, ili mrekwe ujumbe mkafungua momu gwapwa. Tasanyi kwamba mmanyishe kwa ujari loli ikivisiye ihusuyo injili.
\v 20 Ni kwa ajili ya injili nyi na balozi afungiwe minyororo. Ili kwamba ndeni yawe midede kwa ujasiri kama ninavyo wiwa kudeda.
\p
\v 21 Lakini inyo pia mmanye malagho ghapwa na jinsi niendeleagha. Tikito mbari wapwa kipenzi na mtumishi mwaminifu katika Mzuri, awabarishagha kila kindo.
\v 22 Na mduma kwenyu kwa kusudi ihi maalumu ili kwamba mmanye malagho kuhusu isi adime kuwafariji ngolo renyu.
\p
\v 23 Amani ndaike kwa mbari, na lukundo andu amweri na imani kufuma kwa Mlungu Aba na Mzuri Jesu Kristo.
\v 24 Neema na ike na inyo andu amweri na wose wamkundi Mzuri Jesu Kristo kwa lukundo luja kweni husafwie.