sw_tn/zec/04/01.md

12 lines
208 B
Markdown

# kuniamsha kama mtu aamshwavyo usingizini
"kunifanya kuwa na hadhari kama mtu aliyeamshwa usingizini"
# vinara vya taa
sehemu za taa vinavyowashwa moto
# upande wa kushoto
"upande wa kushoto wa bakuri"