|
# Maelezo ya Jumla:
|
|
|
|
Mika anaendelea kuongea.
|
|
|
|
# lia kwa Yahwe
|
|
|
|
"piga kelele kwa Yahwe kwa ajili ya msaada"
|
|
|
|
# Atauficha uso wake kutoka kwenu
|
|
|
|
Hii inamaanisha Mungu hatasikia vilio vyao. Hawatasikia vilio vya maskini, na hivyo wapokee kama walivyofanya kutoka kwa Mungu.
|