sw_tn/ezk/11/16.md

20 lines
446 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anampatia Ezekieli ujumbe wake kwa Israeli kuhusu wale waliotawanyika.
# nimekuwa mtakatifu kwa ajili yao
"nimekuwa pamoja nao kuwalinda."
# nchi ambazo walizoend
"mataifa ambayo waliyochukuliwa"
# Nitawakusanya kutoka kwa watu, na kuwakutanisha kutoka kwenye nchi
Yahwe amesema hii ahadi mara mbili katika njia tofauti tofauti kwa ajili ya kuonyesha kwamba ni muhimu.
# chukizo
"ya kutisha," au "ya kuchukiza"