sw_tn/ezk/10/06.md

20 lines
655 B
Markdown

# Ikawa kuhusu
Hili neno limetumika hapa kuonyesha tendo linaanzia wapi.
# Mungu alipoamwamuru yule mtu aliyekuwa amevaa nguo za kitani na kusema
Hii inarejea habari iliyokuwa imetolewa katikka 10:1. Baada ya kuchukua kerubi na utukufu wa Mungu katika 10:3-5, Ezekieli anarudi kueleza kuhusu yule mtu aliyekuwa amevalia nguo ya kitani.
# yule mtu aliyevalia nguo ya kitani
Tazama maana ya nguo ya kitani ilivyotafsiriwa katika 9:1.
# pembeni ya gurudumu
Tazama neno gurudumu lilivyotafsiriwa katika 1:15.
# Nikaona juu ya kerubi kitu kama mkono wa mtu juu ya mabawa yao
"nikaona yule kerubi alikuwa na kitu kama mkono wa mtu chini ya mabawa yao"