# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuzungumza na wanaisraeli kama wako mtu mmoja.
# Usiseme katika moyo wako
Hapa "katika moyo wako" ina maana "katika mawazo yako"
# amewatupa nje
"amewaondoa watu wengine nje"