forked from WA-Catalog/sw_tn
8 lines
381 B
Markdown
8 lines
381 B
Markdown
# Siri ambayo mfalme ameiomba haiwezi kufunuliwa na watu wenye hekima, wala wale wenye kuongea na wafu, wala wachawi, na wala wataalamu wa nyota
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Wale wenye hekima, wale wenye kuongea na wafu, waganga na wanajimu hawawezi kufunua siri kuhusu kile mfalme alichokiomba"
|
|
|
|
# Siri ambayo mfalme ameiomba
|
|
|
|
Kirai hiki knarejelea ndoto ya mfalme.
|