sw_tn/2sa/22/07.md

16 lines
424 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Wimbo wa Daudi kwa Yahwe unaendelea. Anatumia usambaba kusisitiza akisemacho
# Katika shida yangu
"katika taabu zangu kubwa"
# akaisikia sauti yangu katika hekalu lake,
Daudi anamaanisha hekalu la mbinguni anapoishi Yahwe. Hekalu la duniani lilikuwa bado kujengwa.
# kilio changu cha msaada kikafika masikioni mwake
Usemi wa "masikio yake" inaonesha Yahwe akisikiliza kilio cha Daudi kwa msaada.