# Hivyo Absalomu akainuka
"Hivyo Absalomu anaondoka"
# Katika makabila yote ya Israeli
Hapa sehemu walipoishi makabila ya Israeli zinatajwa kama makabila yenyewe.
# Sauti ya tarumbeta
"tarumbeta ikipigwa"