sw_tn/1ti/06/20.md

20 lines
455 B
Markdown

# linda kile ulichopewa
kwa uaminifu hubiri ujumbe wa kweli ambao Yesu amekupa
# epuka majadiliano ya kipumbavu
usitilie maanani majadiliano yasiyofaa
# ambayo kwa uongo huitwa maarifa
ambayo kwa ujinga watu wengine huyaita maarifa
# wameikosa imani
Paulo anazungumzia imani katika Kristo kama vile shabaha yetu
# Neema na iwe pamoja nawe
Mungu awape neema ninyi nyote. Neno "ninyi" limetumiwa katika wingi na linarejelea jamii yote ya Wakristo.