|
# Ilitokea
|
|
|
|
Nneo hili limetumika ili kuonesha mwanzo mpya wa habari. Unaweza kutumia neneo ambalo lugha yako huwa inatumia.
|
|
|
|
# mwishoni mwa miaka ishirini
|
|
|
|
"baada ya miaka 20"
|
|
|
|
# Sulemani alikuwa amemaliza kuyajenga
|
|
|
|
"Wafanyakazi wa Sulemani walikua wamemaliza kuyajenga"
|