sw_tn/1ki/02/08.md

24 lines
360 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Mfalme Daudi anaendelea kumwambia Sulemani jinsi ya kuingoza Israeli.
# Shimei ... Gera
Haya nimajina ya wanaume
# Wabenjamini
Wana wa uzao wa Benjamini
# Bahurimu ... Mahanaimu
Majina ya mahali
# usimwache aiepuke adhabu
"hakikisha unamwadahibu
# Uatkileta hicho kichwa chenye mvi kaburini
"hakikisha anakufa kifo cha kuuawa"