forked from WA-Catalog/sw_tn
735 B
735 B
nyumba ya Yakobo
Neno "nyumba" hapa la wakilisha familia na uzao wa Yakobo.
nyumba ya Yakobo, watu wa Israeli
Neno "watu wa Israeli" ina eleza nini "nyumba ya Yakobo" ina maanisha.
Uliona
Neno "Uliona" hapa linawakilisha Waisraeli. Yahweh anamwambia Musa nini cha kuwaambia Waisraeli.
nilivyo kubeba kwa mabawa ya tai
Mungu anaongelea kujali watu wake wakati walipo safiri kana kwamba yeye alikuwa tai na kuwabeba kwa mabawa yake.
ukinisikiliza kwa utii
Utii yaweza andikwa kama kitenzi.
sauti yangu
Sauti ya Munguya wakilisha anachosema.
kushika agano langu
"fanya kile agano langu linataka mfanye"
mali yangu ya pekee
"hazina"
ufalme wa kikuhani
Mungu anaongelea watu wake kana kwamba ni makuhani.