sw_tn/jhn/02/15.md

16 lines
465 B
Markdown

# Basi
Neno hili linaonyesha tukio lililotokea kwa sababu ya kile kilichotokea mwanzoni. Katika hali hii, Yesu aliwaona wabadili fedha wamekaa katika hekalu.
# Acheni kuifanya nyumba ya Baba yangu soko
Yesu, Mwana wa Mungu, anawafukuza wafanyabiashara kutoka mahali palipoandaliwa kwa ajili ya ibada ya Baba yake, Mungu Baba, kumuheshimu.
# nyumba ya Baba yangu
Haya ni maneno ambayo Yesu aliyasema yakimaanisha hekalu.
# Baba
Hiki ni cheo muhimu kwa Mungu.