sw_tn/psa/120/005.md

16 lines
448 B
Markdown

# Ninaishi Mesheki kwa muda; Niliishi kwa muda katika mahema ya Kedari
sehemu hizi mbili zilikuwa mbali. Mwandishi inawezekana anatumia majina kwa balagha kuashiria kuishi miongoni mwa watu wakatili. "Ni kana kwamba ninaishi Mesheki au katika mahema ya Kedari"
# mahema ya Kedari
Msemo huu unawakilisha watu wa Kedari wanaoishi katika mahema hayo. "watu wanaoishi Kedari"
# Mimi ni wa amani
"Ninataka amani"
# wao ni wa vita
"wanataka vita"