forked from WA-Catalog/sw_tn
767 B
767 B
Maelezo ya Jumla:
Ktika nukuu hii nabii Yeremia alikuwa amesema agano jipya ambalo Mungu angefanya
na watu
"na watu wa Israeli"
Angalia
"Tazama" au "Sikiliza" au "Kuwa na tahadhari kwa lile ninalotaka kuwaambia."
Siku zinakuja
Ziku zijazo zinaongelewa kana kwamba zinatembea kumkabiri mzungumzaji. AT:"ktakuwa na wakati"
nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda
Watu wa Israeli na watu wa Yuda wanaongelewa kana kwamba wao ni nyumba. AT:"watu wa Isareli na watu wa Yuda"
Niliwachukua kwa mkono na kuwaongoza kutoka katika ardhi ya Misri.
Picha inawakilisha upendo mkuu wa Mungu na kujali kwake.
hawakuendelea katika katika agano langu
Kutii agano la Mungu kunaongelewa kana kwamba mtu alipaswa kuendelea katika hilo. AT: "hawakutii agano langu"