sw_tn/psa/119/049.md

13 lines
353 B
Markdown

# ZAYINI
Hili ni jina la herufi ya saba ya alfabeti ya Kihebrania. Katika lugha ya Kihebrabia, kila mstari wa msistari ya 49-56 unaanza na herufi hii.
# Itisha akilini ahadi yako
"Kumbuka ahadi yako."
# Hii nifaraja yangu katika mateso; kuwa ahadi yako imeniweka hai
"Sababu ya faraja yangu ni kwamba ahadi yako imeniweka hai katika mateso yangu"