forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
520 B
Markdown
21 lines
520 B
Markdown
# Taarifa ya Jumla:
|
|
|
|
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
|
|
|
|
# Zaburi ya Daudi
|
|
|
|
Maana zinazowezekana ni 1) Daudi aliiandika zaburi au 2) zaburi inamhusu Daudi au 3) zaburi iko katika mtindo wa zaburi za Daudi.
|
|
|
|
# kwa bidii
|
|
|
|
"kwa uaminifu"
|
|
|
|
# nafsi yangu ina kiu na wewe, na mwili wangu una shuku na wewe
|
|
|
|
Vishazi hivi viwili vinamaana mojana vinatumikapamoja kusisitiza jinsi mwandishi anavyotamani kuwana Mungu. "mwili wangu wote unatamani kuwa na wewe"
|
|
|
|
# nchi kavu na iliochoka
|
|
|
|
"jangwa kavu lenye joto"
|
|
|