sw_tn/luk/23/08.md

37 lines
536 B
Markdown

# alifurahi sana
"Herode alifurahi sana"
# alitaka kumuona
"Herode alihitaji kumuona Yesu"
# Alisikia habari zake
"Herode alisikia habari ya Yesu"
# na alitamani
"Herode alitamani"
# kuona baadhi ya miujiza anayoifanya
"kumuona yeye akifanya baadhi ya miujiza"
# Herode alimhoji Yesu kwa maneno mengi
"Herode alimuuliza Yesu maswali mengi"
# hakumjibu chochote
"Hakumjibu" au "hajampa Herode majibu"
# walisimama
"walisimama pale"
# kwa ukali kumshutumu
"walimshutumu Yesu kwa ukali" au "walimshutumu yeye kwa hasira"