sw_tn/luk/22/49.md

17 lines
348 B
Markdown

# wale waliokuwa karibu na Yesu
Hii inaonyesha wanafunzi wa Yesu.
# hayo yanayotokea
Tafsiri mbadala: "kwamba makuhani na maaskari walikuwa na watu wa kumkamata Yesu"
# akampiga mtumishi wa kuhani mkuu
"akampiga mtumishi wa kuhani mkuu kwa panga"
# akagusa sikio lake
Tafsiri mbadala: "akamgusa mahali ambapo sikio lake lilikuwa limekatwa"