forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
730 B
Markdown
21 lines
730 B
Markdown
# yeyote anayepita chini ya fimbo ya mchungaji
|
|
|
|
Hii hurejea njia ambayo wangehesabu wanyama wao. : "unapohesabu wanyama wwako kwa kuinua fimbo ya mchungaji wako na huku wakipita chini ya fimbo hiyo kwenda upande mwingine" au "munapowahesabu wanyama"
|
|
|
|
# wa kumi mmoja lazima atengwe kwa ajili ya Yahweh
|
|
|
|
wakumi lazima atengwe kwa ajili ya Yahweh** - sentensi yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "yawapasa mumtenge wa kumi mmoja kwa ajili ya Yahweh"
|
|
|
|
# mmoja wa kumi
|
|
|
|
ya kumi**- "kila mnyama wa kumi"
|
|
|
|
# kisha wote wawili yule wa kwanza na huyo aliyebadiliwa
|
|
|
|
"kisha wanya wote wawili"
|
|
|
|
# hawezi kukombolewa
|
|
|
|
Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. : "Hataweza kumkomboa" au "Hataweza kummrejesha kwa kumnunutena"
|
|
|