sw_tn/jol/03/04.md

21 lines
648 B
Markdown

# Taarifa za jumla
Mungu anaongea na watu wa mataifa yaliyozunguka Israeli.
# kwa nini unanikasilikia
Mungu hutumia swali hili kuwashawishi watu wa Tiro, Sidoni na Ufalme. AT "Huna haki ya kunikasikia"
# Je! mutanirudishia malipo?
'Je, utajipiza kisasi?' Mungu anatumia swali hili kuwafanya watu kufikiri juu ya kile wanachokifanya. AT 'Unafikiri unaweza kulipiza kisasi juu yangu'
# mara moja nitawarudishia malipo yenu juu ya vichwa vyenu wenyewe
Hapa neno "kichwa' linamaanisha mtu. Kisasi ambacho walitaka kuelekea Bwana, atawafanyia. AT "Nitawafanya uhukumiwe kwamba ulijaribu kuniweka"
# nitawarudishia
kulipiza kisasi" au "kulipa"