sw_tn/jdg/15/15.md

17 lines
270 B
Markdown

# mfupa mbichi
Hii inamaanisha kuwa punda alikufa siku za karibuni na mfupa wake haukuanza kuharibika.
# watu elfu moja
"watu 1,000"
# taya ya punda
"taya ya punda"
# Chungu juu ya chungu
Maneno haya yanaelezea ni kwa namna gani Samsoni aliwaua watu wengi sana.