sw_tn/dan/07/23.md

37 lines
1.0 KiB
Markdown

# Maelezo ya jumla
Vifungu vingi vya mistari ya 23-27 ni lugha ya picha.
# Hiki ndicho mtu yule alichokisema
Huyu niNa kuhusu pembe kumi mtu ambaye Danieli alimkaribia katika 7:15
# mtu yule alichokisema
mtu yule alijibu
# Kwa habari ya mnyama wanne...Na kuhusu pembe kumi
"kuhusu mnyama wa nne...kuhusu pembe kumi"
# Utaimeza ..... vipande vipande
Hii haina manna kwamba ufalme wa nne utaiharibu sayari, bali ni kwamba utashambulia, kushinda na kuharibu falme zingine zote za duniani.
# kutoka katika ufalme huu, wafalme kumi watainuka
Watatawala mmoja baada ya mwingine. Hii yaweza kuwekwa wazi. "wafalme kumi watautwala ufalme wa nne, mmoja baada ya mwingine"
# mwingine atainuka baada yao
Mfalme huyu si mmoja wa wale kumi. Ni vizuri kumrejelea kama mfalme wa kumi na moja.
# Atakuwa wa tofauti na wale waliomtangulia,
"atakuwa tofauti na waflme wengine kumi"
# atawashinda wale wafalme watatu
Atawashinda wafalme halisi watatu. inaeza kusaidia kueleza kuwa wale wafalme watatu wanawakilishwa ba pembe tatu zilizong'olewa.