sw_tn/act/16/04.md

17 lines
333 B
Markdown

# walipo kuwa wakienda
"Walipo kuwa" hii inamaanisha Paulo, Sila na Timotheo.
# ili kuyatii
'Kwa washiriki wa kanisa kutii' au 'kwa waumini kutii'
# yaliandikwa na mitume na wazee huko Yerusalemu
"ambayo imeandikwa na mitume na wazee huko Yerusalemu"
# Makanisa yakaimarishwa
"Paulo , Sila na Timotheo waliimarisha makanisa"