sw_tn/1ki/20/26.md

17 lines
326 B
Markdown

# Afeki
Hili ni jina la mji
# kupigana na Israeli
"kupigana na jeshi la israeli"
# watu wa Israeli walikuwa wamehesabiwa
Jeshi la Waisraeli lilikusanywa pamoja na walipewa vitu ambavyo walihitaji kwa ajili ya vita
# kama makundi mawili madogo ya mbuzi
Jeshi l a Waisraeli linaonekana dogo nadhaifu kama mbuzi mchanga.