# Ashitorethi, Milikomu
Haya ni majina ya miiungu ya uongo
# Wasidoni
Hili jinala kundi la watu
# maovu mbele ya BWANA
"kile ambacho BWANA alikiona kuwa ni kiovu"
# alimfuata Milikomu
"Milikomu" ni jina lingine la "Moleki"