# Maelezo ya Jumla Paulo anaanza kufafanuao hoja yake, kwamba anaposema hekima anamaana gani kwa wasomaji wake. # Sasa tunaizungumza Neno "sasa" limetumiwa hapa kama alama ya kuonesha fundisho kuu. Paulo anaelezea kuwa hekima ya kweli ni ile hekima ya Mungu. # watu wazima "Waumini walikomaa kiimani" # kabla ya nyakati " Kabla Mungu hajaumba chochote" # za utukufu wetu " ili kudhibitisha ujio wa kutukuzwa kwetu"